KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
KweliKwanza,
Huyu kama mwanamke kabisa ni ngumu kwa tusiomjua kufahamu kama ni mwanaume aisee dunia hii
Ukifuatilia kwa ukaribu historia ya ubunifu wa mavazi imefadhiliwa na freemasonry .Ukiwa makini utajua kuwa Leonardo DA VINCI alichora picha ya Monalisa ,kuonesha namna ambavyo mwanamke anatakiwa kuvaa. Since then wabunifu wa mavaz wakifadhiliwa na freemasonry wamekuwa wakimvua nguo taratibu Monalisa hadi kufikia wanawake kutembea uchi. Sasa unganisha freemasonry ,gays and modelling utapata jibu kuwa wanamtumikia bwana wao mmoja wanaomjua wao.
Kuna siku nimecheka sana kijamaa flan hv kifupii, siku ya kufunga kinataka kumpiga mpini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko form 4 huyo yeye yuko form6
Sent from my iPhone using JamiiForums
DuhHuyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume
IQ standard
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahTatizo wanaiba waume za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiih lolsidhani may be anae wa show tu
nyuki wa mashineni
Ndo mnavojidanganya kuwa na GF au watoto sio shoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],msiba mzito
binafsi namkubali lotta mollel
he is my friend ila ki ukweli SIO SHOGA maana ana mtoto na ana girlfriend kabisa
Kweli mkuu naona hata D&G Ni hivo hivo tuHuyo ukmnaijeria umetaja moja tu.
Lakini kwa kiufupi DUNIA NZIMA STYLIST WENGI NI - +