Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Kwani wewe ni Kabila gani mkuu?Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao wachagga wengi wanapenda kuiliza.Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio wanapenda sana hili swali.
Lina kera Na nilakipuuzi kwasababu nakumbuka kipindi Fulani wakati nimemaliza chuo wakati natafuta kazi ilikuwa naulizwa sana hili swali Na hawa jamaa Na Nikishawaambia kabila tofauti nawao Hapo sipati kaziKwani wewe ni Kabila gani mkuu?
Kwani Kabila ni Siri, mpaka uogope Hilo swali?
Sawa.Lima kera Na nilakipuuzi kwasababu nakumbuka kipindi Fulani wakati nimemaliza chuo wakati natafuta ilikuwa naulizwa sana hili swali Na hawa jamaa
Unataka kutambika au Wewe in mganga wa kienyeji?Sawa.
Sasa tuambie wewe ni Kabila gani?
Huwa tunauliza hilo swali kwa sababu za kiuchumi na kisaikolojia.Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao wachagga wengi wanapenda kuiliza.Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Wanakuona mambo yako hayaelezekiWatu wa bara wengi sana ni swali wanalipenda , nakasirika sana hao jamaa wanapenda sana kuuliza kabila la mtu .
Kabisa tunachuja taarifa kwanza kabla hatujafika mbali🤣🤣Kuna makabila ukitutajia tunajua huyu atakuwa mvivu au ana matumizi mabaya ya pesa, kwa mfano Msambaa au Mngoni.
Hawaelewi tu umuhimu wa kujua kabila la mtuKabisa tunachuja taarifa kwanza kabla hatujafika mbali🤣🤣
Hii mindset itakutesa sana..hapa duniani kila MTU ni unique ana attitude, behavior, character Na IQ tofauti...utachelewa sana...mjaji MTU kutokana Na tabia Yake mwenyewe...ndio maana sio wachagga wote wanafanya biashara..kuna wengine tumeawajiri kwenye biashara zetu Na wangine ni walala hoi wengi huko KilimanjaroHuwa tunauliza hilo swali kwa sababu za kiuchumi na kisaikolojia.
Ukisema ni Mkinga au Mbena tunajua unaweza kuwa mtu wa system maana ni wanoko sana na wamejazana huko. Ukisema ni Mkinga tunakaa na wewe kwa akili tukijua muda wowote unaweza kuwa mpinzani wa kiuchumi. Kuna makabila ukitutajia tunajua huyu atakuwa mvivu au ana matumizi mabaya ya pesa, kwa mfano Msambaa au Mngoni. Kuna makabila ukitutajia tunajua huyu ili tumkamate tumuweke mahali kuna wanawake wazuri atatufanyia kazi bure. Kuna makabila ukiyataja tunajua hapa hamna tunachopata ila tunasaidia tu mtu. Makabila mengine ukitutajia tunajua huyu atakuwa anapiga kazi sana kama Wasukuma, Wanyamwezi au Wanyakyusa.
Hilo swali ni "very technical" na ni muhimu sana kwetu.
Ukweli ni kuwa mwezi wa 12 huwa tukikutana tunajadili makabila yote kutokana na sehemu tunazoishi hivyo tunawajua wote vizuri sana.
Hata huku Uchagani huwa tunaulizana kama ni wa wapi ili tujue... Mrombo au Mkibosho-mzuri sana kwenye Biashara.
Muuru- Mcha Mungu ila anaamini kwenye uganga sana.
Mmachame- mzuri kwenye kilimo na ugugaji wa kisasa. Mkirua-Mshamba, Mmarangu- wavivu wanategemea uzuri wa dada zao kufanikiwa.
Bottom Line : hilo swali hatuwezi kuacha kuuliza. Ni swali muhimu sana.
kwamba wangoni niwavivu?Huwa tunauliza hilo swali kwa sababu za kiuchumi na kisaikolojia.

Wana ukabila hao wapuuzi, hata kutumia majina ya koo ni ktk mkakati wa kuhakikisha wanajuana ili iwe rahisi kubagua na kupendelea. Kafungue biashara ya duka Moshi km utapata mteja uone!Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao wachagga wengi wanapenda kuiliza.Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Sasa inanitesa kwa kipi na ndio tumeishi nayo kwa mafanikio makubwa sana? Uliona wapi mchaga anateseka?Hii mindset itakutesa sana..hapa duniani kila MTU ni unique ana attitude, behavior, character Na IQ tofauti...utachelewa sana...mjaji MTU kutokana Na tabia Yake mwenyewe.
Sanakwamba wangoni niwavivu?
Sasa wewe kafungue duka mtaani kwako ulikozaliwa uone kama utauza ndio ufikirie kufungua duka Moshi.Wana ukabila hao wapuuzi, hata kutumia majina ya koo ni ktk mkakati wa kuhakikisha wanajuana ili iwe rahisi kubagua na kupendelea. Kafungue biashara ya duka Moshi km utapata mteja uone!