How,mbona Wasukuma wengi wameona na Wachaga.
Hahahaa mimi kazini kwangu tukiwa na Recruitment huwa nawatizama tu.Wengi wao huwa wanadai wamezaliwa Muhimbili, Ocean Road n.k.
Mi nawaambia,ni mgagagigikoko!Watu wa bara wengi sana ni swali wanalipenda , nakasirika sana hao jamaa wanapenda sana kuuliza kabila la mtu .
Hata makambako, Njombe mjini Kama Sio Mbena au Mkinga hutoboi!Wana ukabila hao wapuuzi, hata kutumia majina ya koo ni ktk mkakati wa kuhakikisha wanajuana ili iwe rahisi kubagua na kupendelea. Kafungue biashara ya duka Moshi km utapata mteja uone!
Mara nyingi maeneo ambayo wenyeji wanaishi na hakuna mchanganyiko mkubwa ni kawaida kufanya biashara wao kwa wao.Hata makambako, Njombe mjini Kama Sio Mbena au Mkinga hutoboi!
Sawa mkuu,ngoja tuone!Mara nyingi maeneo ambayo wenyeji wanaishi na hakuna mchanganyiko mkubwa ni kawaida kufanya biashara wao kwa wao.
Pia hii sio kwa jamii za Wachaga au Wabena hata Usukumani ipo na inachukua muda mpaka wakuzoee na kufanya biashara na wewe.
Ni vema ukafahamu sio rahisi leo hii uende Usambaani ukafungue duka na upate wateja,mteja anatabia ya kutaka kufahamu na kujenga bond na wewe na hili huchukua muda,Ukitaka kufika leo na leo upate wateja lazima utasema watu hawa wana ukabila na hawafai kuishi na watu wa kabila tofauti.
Asanteh kwa kunielewa na jambo la msingi ni kupendana na hakuna jambo kubwa kama hilo.Sawa mkuu,ngoja tuone!
š¤£š¤£unabahati mada za kisukuma zimepungua naona moto upo kwa wachagaš
Wewe ndio mshamba hapo ila hujijui , kujua utambulisho wa mtu ni muhimu sana na Hilo swali linaulizwa na watu wote smart hata wazungu hua wanauliza where are you come from.Watajitetea ila lengo lao ni ushamba wa ukabila
Na wengine ni mafundi ujenzi wako kwenye masaiti sio wote wanamiliki biashara.Hii mindset itakutesa sana..hapa duniani kila MTU ni unique ana attitude, behavior, character Na IQ tofauti...utachelewa sana...mjaji MTU kutokana Na tabia Yake mwenyewe...ndio maana sio wachagga wote wanafanya biashara..kuna wengine tumeawajiri kwenye biashara zetu Na wangine ni walala hoi wengi huko Kilimanjaro
Sijui kwa nini tunachukiana sana,ila ndo ubinadamu maana asili yetu tunafikiria mabaya muda mwingi.š¤£š¤£unabahati mada za kisukuma zimepungua naona moto upo kwa wachagaš
Tofautisha roho nzuri na uvivu. Wao ni wavivu.lakini hawana roho mbaya kama wachaga
Mkuu mbona umecatch? Mie nimetolea mfano tu mbona nimesema Wanawake wa Kimarangu ni wazuri hilo hujaona ni negative?Wamarangu sio wavivu mkuu ila wanatumia akili kwenye kufanikiwa sio nguvu bila akili. Ndio maana wengi wamesoma sana. Ingekuwa ni wavivu Marangu isingekuwa namba moja kwa maendeleo uchagani.
Hata Wakirua Vunjo huo ushamba ni zamani sio leo. Wana positive nyingi sana. Kwa hiyo badala ya kuongelea negative tuu ungeongea negative na positive. Au mpaka tuongelee na negative za Wakibosho na Wamachame ambapo ndipo ulipo wewe.
Na hata kwenye koo zetu tunaulizana umetoka uzao wa nani na familia ipi?Ni muhimu kujua asili ya mtu. Background check.
Hata sisi Wachaga hatuishii kuulizana ni Mchagga wa wapi tunaulizana mpaka Ukoo wako ni wa kina nani mengine mengine.
Siyo kweli. Wachaga tunawaheshimu sana Wasukuma. Mimi binafsi nimezaa na Msukuma wa hapo Malya unapitia Hungumalwa ukielekea Ngudu.
Binafsi nikiuliza halafu ukasema ni Mzanzibar basi naona niko na Shetani kabisaat last katokea mtu humu kusema kile ambacho nimekuwa nasema mara nyingi, nacho ni kuwa watanzania hususan tanzania bara wana ukabilia. Hii tabia sio kwa wachaga tu, ni tatizo ambalo limeenea kote. toka enzi za Nyerere, kwa mfano, ilikuwa mtu akipewa wadhifa tu basi watu wanataka kujua katokea pande gani ya tanzania, watu wanataka kujua kama ni mtu wa butiama au wa karibu etc. Na hadi hii leo ndio hivyo hivyo. Tabia ambayo kuna watanzania wamekwenda nayo hadi katika nchi za nje wanakoishi hivi sasa.
Msambaa umekasirikaHakuna cha maana hapo .
Hata ufundi ujenzi unaweza kuwa biashara pia. Mdogo wangu ni fundi wa umeme majumbani na hajasomea popote ila anaweza kuwa na site kama 6 kwa pamoja anaweka vijana wanafanya kazi yeye anakagua tu. Biashara siyo lazima umiliki dukaNa wengine ni mafundi ujenzi wako kwenye masaiti sio wote wanamiliki biashara.
Chasaka mkubwa weeHuwa tunauliza hilo swali kwa sababu za kiuchumi na kisaikolojia.
Ukisema ni Mkinga au Mbena tunajua unaweza kuwa mtu wa system maana ni wanoko sana na wamejazana huko. Ukisema ni Mkinga tunakaa na wewe kwa akili tukijua muda wowote unaweza kuwa mpinzani wa kiuchumi. Kuna makabila ukitutajia tunajua huyu atakuwa mvivu au ana matumizi mabaya ya pesa, kwa mfano Msambaa au Mngoni. Kuna makabila ukitutajia tunajua huyu ili tumkamate tumuweke mahali kuna wanawake wazuri atatufanyia kazi bure. Kuna makabila ukiyataja tunajua hapa hamna tunachopata ila tunasaidia tu mtu. Makabila mengine ukitutajia tunajua huyu atakuwa anapiga kazi sana kama Wasukuma, Wanyamwezi au Wanyakyusa.
Hilo swali ni "very technical" na ni muhimu sana kwetu.
Ukweli ni kuwa mwezi wa 12 huwa tukikutana tunajadili makabila yote kutokana na sehemu tunazoishi hivyo tunawajua wote vizuri sana.
Hata huku Uchagani huwa tunaulizana kama ni wa wapi ili tujue... Mrombo au Mkibosho-mzuri sana kwenye Biashara.
Muuru- Mcha Mungu ila anaamini kwenye uganga sana.
Mmachame- mzuri kwenye kilimo na ugugaji wa kisasa. Mkirua-Mshamba, Mmarangu- wavivu wanategemea uzuri wa dada zao kufanikiwa.
Bottom Line : hilo swali hatuwezi kuacha kuuliza. Ni swali muhimu sana.