Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

Na hata kwenye koo zetu tunaulizana umetoka uzao wa nani na familia ipi?

Yap kabisa na ndio maana sio rahisi kusikia Mchagga anaona au kuzaa na ndugu yake hata wa ukoo kwa sababu tunachukua historia kwa kina vizazi hata vitatu nyuma huko.

Ukipita hata nje kwa Mchagga kule Moshi lazima akuulize wewe ni mtoto wa nani hasa wabibi na wamama ukimuleza anafurahi hasa kama anamfahamu aidha kwa undugu, urafiki na hata kama ana matunda, chakula anakupa ndio ujamaa wa kweli huu mjumbe mmoja kasema uliopo uchagani. Na hata kama ni mgeni basi anafurahi kukufahamu kwa namna hiyo.

Kwa hiyo mimi popote pale sioni tabu mtu akiniuliza kabila langu natokea wapi na namuelekeza mpaka nyumbani.
 
Labda inawasaidia, Mimi nikijua Niko karibu na Mangi lazima nikae chonjo maana muda sio mrefu tutagombana huwa sitaki Janja Janja...Mimi watu ninao enjoy kuwa nao ni wasukuma maana wapo real halafu ukifanya nao biashara au mkipanga dili huwa wanatimiza ahadi, wako honest halafu wanajua kuishi na watu, ukipanga mipango na msukuma unajua kabisa hapa napanga mipango na mwanaume mwenzangu...Udhaifu wao mkubwa ni wanawake, anaweza kuhonga hata nyumba kmmke...
 

Acha kujizungumzia mwenyewe hakuna watu wanafiki kama nyie wasukuma pia
hakuna watu wana wivu kama nyie wasukuma tena wivu ambao sio wa maendeleo wa kurudishana nyuma ndio maana mnalogana sana. Mnarudi kwenu kwa kujificha na hamuagi wakati wakuondoka kwa kuogopa kulogwa.

Cheki kimaendeleo mlivyo bado mpo nyuma, vijiji vya huko shinyanga ni umasikini tuu. Washamba nyie.
 
kabla sijatembea tembea nilikuwa nafikiri wachaga wote ni matajiri na wote ni wafanya biashara.
 
kabla sijatembea tembea nilikuwa nafikiri wachaga wote ni matajiri na wote ni wafanya biashara.

Wewe basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo? Inawezekanaje watu wote kwenye population wafanane?

Je Wazungu wote ni matajiri au ni wasomi au wote wana makazi..? Open your eyes.
 
They carry it as their identity and pride. Nilipost kitu insta kuna mkaka akacomment we ni mchaga?

It’s so sad kabila langu huwa hawataki kujitambulisha kama wanyaturu.

Proud ones ni only few walioelimika form 6 leaver kama The Monk
 
They carry it as their identity and pride. Nilipost kitu insta kuna mkaka akacomment we ni mchaga?

It’s so sad kabila langu huwa hawataki kujitambulisha kama wanyaturu.

Proud ones ni only few walioelimika form 6 leaver kama The Monk

Juzi kuna jirani anajenga maeneo ya huku kwetu, ili tuyajenge mambo ya miundo mbinu kujiandaa na mvua.
Baada ya kuyaelewa maelezo yangu ajaniuliza ghafla, wewe unaitwa nani na ni kabila gani? Of course yeye anatoka Kilimanjaro, nikamwambia mie Mnyaturu.

Tuko msibani tafadhali tunawahi maziko.
 
Suala la miundombinu umekomaa nako.. Huo mtaa wajenge sanamu lako.

Tuko msibani tafadhali tunawahi maziko.
Nikajua unanisubiri twende wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…