Mimi Sina baya na makabila mkuu.Ndio kwa sababu unafikiria mtu kukataa kitu ni mpaka asema hapana. Tunangalia kauli zake na matendo yake yanakupa majibu kuwa huyu mtu amesimamia wapi.
Mimi Sina baya na makabila mkuu.
Mtu anayependa habari za makabila Yuko sawa, na asiyependa habari za makabila Yuko sawa pia.
Binadamu wote hatuwezi kuwa na uelewa au mwelekeo sawa wa kimtizamo
Mimi kwenye swala la makabila Sina msimamo wa upande Fulani mkuu.Sasa uwe wazi na bayana usiwe kigeugeu na mtu wa rangi mbili jifunze kusimamia msimamo wako.
Mimi kwenye swala la makabila Sina msimamo wa upande Fulani mkuu.
Wanaopenda maswala ya makabila nawaona wako sahihi,
na wale pia ambao hawapendi mambo ya makabila wako sahihi vile vile,
na mimi ambaye sina upande kati Yao Niko sahihi pia.
Mfano ni katika maswala ya Dini, mimi Sina Imani Fulani ya kidini, nikimuona mkristo anahubiri Injili namuona Yuko sawa Kwa Imani yake,
Na Muislam namuona Yuko sawa,
vile vile hata Kwa imani nyingine,
mimi si lazima niwe kati yao.
Yeah lazima niyumbe maana Sina upande ninaoegemeaRefer comments zako za nyuma kwenye huu huu uzi. Unayumba yumba
Ili nijue kwanza kama huyu ni ndugu yangu kabila moja hata sory tunaaminiana kupeana madili.Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Lina kera Na nilakipuuzi kwasababu nakumbuka kipindi Fulani wakati nimemaliza chuo wakati natafuta kazi ilikuwa naulizwa sana hili swali Na hawa jamaa Na Nikishawaambia kabila tofauti nawao Hapo sipati kazi