Kwanini wachawi hawapeleki chuma ulete benki?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Alhamndulillah,

Suala la uchawi tunaambiwa lipo, habari za chuma ulete nafikiri zipo na zishawatokea watu wengi tu.

Kama kweli uchawi upo, wachawi wanashindwaje kuloga ili wakaibe pesa kwenye mabenki?

Tujadili.
 
Wanapigwa vizuri tu, ila sijui kwanini wachawi hawatakagi pesa ndefu, Rafiki yangu bank teller alinihadithia kuna mkulungwa ana biashara zake za mgahawa kila siku anakuja kuomba chenji.
Na dirisha atakaloomba chenji mwisho wa siku hesabu hazitally, wakamshtukia wakamtimua.
 
Hahahah.

Bank teller wanapiga shoti ya mahesabu kama Kawa.
 
sasa hapo loss haipo bank ipo kwa teller
 
Wachawi hawataki pesa, wanataka nguvu ya kuweza kutafuta pesa..

Hiyo nguvu ya kutafuta ni kubwa kuliko hizo pesa za benki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…