Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Wachezaji wa timu ya Mbao FC wanaonekaba kugombewa na timu kubwa za Bongo hali ya kuwa hawa kufanya vizuri kwenye ligi nusura waishushe ligi timu yao..? Ni kweli wana kiwango au ni upepo na ulimbukeni tuu.?