Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Mbona kawaida tu! Kipa wa Sunderland ya England aliwindwa na vilabu vingi vikubwa kabla hajasain Everton lakin alikuwa miongoni mwa walioishusha timu yao daraja! Hayo ni mambo ya kawaida kwani timu kufanya vibaya kuna mambo mengi yanayochangia!Wachezaji wa timu ya Mbao FC wanaonekaba kugombewa na timu kubwa za Bongo hali ya kuwa hawa kufanya vizuri kwenye ligi nusura waishushe ligi timu yao..? Ni kweli wana kiwango au ni upepo na ulimbukeni tuu.?
Hili liwe fundisho kwa wachezaji wengine wa vilabu vidogo. Mkiwakazia Yanga na Simba mnajitengenezea nafasi kwenda mbele. Msikubali rushwa na kutumika kama daraja za vilabu vingine kujipatia point tatu.Wachezaji wa timu ya Mbao FC wanaonekaba kugombewa na timu kubwa za Bongo hali ya kuwa hawa kufanya vizuri kwenye ligi nusura waishushe ligi timu yao..? Ni kweli wana kiwango au ni upepo na ulimbukeni tuu.?