Isaya John
New Member
- Sep 28, 2017
- 3
- 0
Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina katika ubora wao wa kufake mamboChina walifungiwa world cup kipindi cha nyuma coz waliingiza wachezâji wengine uwanjani..I mean first half walicheza wengine na second half wakacheza wengine kwa jezi zilezile za wachezaji wa first half hivyo wakagunduliwa...ila watamaliza kifungo muda si mrefu...
Walitumia vzr chance ya kufanana[emoji1]Wachina katika ubora wao wa kufake mambo
Ilikuwaje hadi wakagundulika..Walitumia vzr chance ya kufanana[emoji1]
China walifungiwa world cup kipindi cha nyuma coz waliingiza wachezâji wengine uwanjani..I mean first half walicheza wengine na second half wakacheza wengine kwa jezi zilezile za wachezaji wa first half hivyo wakagunduliwa...ila watamaliza kifungo muda si mrefu...
Ilikuwaje hadi wakagundulika..
Wakuu samahanini nisiwanyweshe sumu...hii ni propaganda iliyopo mtaani lakini haina ukweli wowote...they just failed to qualify for the world cup..How??
Maana kipindi cha mapumziko kuna uangalizi sana na waangalizi wako makini.
Ni mwaka gani huo??
Nop,Qatar ndiye aliyeshika mkia kundini...Hawakufanikiwa kupita hatua ya makundi wakati wa mechi za kufuzu.
Walikua kundi moja na Iran, South Korea na timu nyingine huku wao ndio walioshika mkia kwenye kundi.
Yeah kweli mechi ya mwisho China alimpiga Qatar goli 2 kwa mojaNop,Qatar ndiye aliyeshika mkia kundini...
India I na watu billion mbili haijawahi kushiriki kombe la duniaWaungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
China walishawahi shiliki kombe la dunia mwaka 2002 walikuwa group moja na brazil na walifungwa goli 4Waliwahi kushiriki mwaka gani mkuu?
Kweli kabisa niliishuhudia hiyo mechi.China walishawahi shiliki kombe la dunia mwaka 2002 walikuwa group moja na brazil na walifungwa goli 4
Jamani Huyu M2 Ni Muhenga Humu NdanKweli kabisa niliishuhudia hiyo mechi.
Mara ya mwisho kuwasikia wachina kombe la dunia ni mwaka 2002 walicharazwa 4-0 na Brazil... Mwaka huohuo ndiyo Saudi Arabia alitandikwa 8-0 na Ujerumani akapotea michuanoni hadi mwaka huu alipoibuka kupigwa idadi sawa na nguzo za uislamu na Warusi.Waliwahi kushiriki mwaka gani mkuu?
Goli la kwanza ikiwa ni faulo ya Roberto Carlos, la pili ni Rivaldo, la tatu ni penalty ya Ronaldinho baada ya Ronaldo kuvutwa jezi. Mwisho Ronaldo De Lima akafunga dimbaChina walishawahi shiliki kombe la dunia mwaka 2002 walikuwa group moja na brazil na walifungwa goli 4
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hao wakiingia world cup kwenye mechi lazima muwe na ambulance za kutosha maana fani yao hao ni kungfu...