Kwanini Wachina World Cup hawapo au ndo hawana vipaji vya mpira au wameupa mpira Talaka

Isaya John

New Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
 
Wachina katika ubora wao wa kufake mambo
 


How??

Maana kipindi cha mapumziko kuna uangalizi sana na waangalizi wako makini.

Ni mwaka gani huo??
 
Hawakufanikiwa kupita hatua ya makundi wakati wa mechi za kufuzu.
Walikua kundi moja na Iran, South Korea na timu nyingine huku wao ndio walioshika mkia kwenye kundi.
 
China walishiriki world cup nakumbuka 2002. Je Tanzania nyie vipi?
 
Waliwahi kushiriki mwaka gani mkuu?
Mara ya mwisho kuwasikia wachina kombe la dunia ni mwaka 2002 walicharazwa 4-0 na Brazil... Mwaka huohuo ndiyo Saudi Arabia alitandikwa 8-0 na Ujerumani akapotea michuanoni hadi mwaka huu alipoibuka kupigwa idadi sawa na nguzo za uislamu na Warusi.

China hiyo sidhani kama aliingia tena
 
China walishawahi shiliki kombe la dunia mwaka 2002 walikuwa group moja na brazil na walifungwa goli 4
Goli la kwanza ikiwa ni faulo ya Roberto Carlos, la pili ni Rivaldo, la tatu ni penalty ya Ronaldinho baada ya Ronaldo kuvutwa jezi. Mwisho Ronaldo De Lima akafunga dimba
 
Hao wakiingia world cup kwenye mechi lazima muwe na ambulance za kutosha maana fani yao hao ni kungfu...
 
Hao wakiingia world cup kwenye mechi lazima muwe na ambulance za kutosha maana fani yao hao ni kungfu...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Japan wenye karate, judo na ninjutsu mbona hakukutokea mchezaji kuumia?

wakati wale huko kwao hadi siku moja wabunge walizinguana. Karate zikatembezwa bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…