EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Yaani hata ukute mdada ana mimba ya wiki mbili, yaani haionekani kabisaaa utakuta mtu anatundika Mtandio begani anafunika tumbo, mi nikiona mdada kafanya hivyo najua kabisa mzigo tayari.
Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au kuna mtu jirani kaolewa siku nyingi na hajabahatika?
Naomba kujuzwa.
ASANTENI
Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au kuna mtu jirani kaolewa siku nyingi na hajabahatika?
Naomba kujuzwa.
ASANTENI