EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ya wanawake waachie wanawake
hmmUzi ungeishia hapa
HayakuhusuYaani hata ukute mdada ana mimba ya wiki mbili, yaani haionekani kabisaaa utakuta mtu anatundika Mtandio begani anafunika tumbo, mi nikiona mdada kafanya hivyo majua kabisa mzigo tayari.
Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au kuna mtu jirani kaolewa siku nyingi na hajabahatika?
naomba kujuzwa.
ASANTENI
View attachment 1433245
Mbona kama umepaniki??
Mkuu ninaishi na wanawake siwezi kuwaacha, Infwakti kuna ninayeishi nae ubavuni ila hili swali hakutaka kunijibuYa wanawake waachie wanawake
Toa majibu acha kujificha MkuuUzi ungeishia hapa
Toa majibu acha kujificha Mkuu
Una mtoto?Sina majibu mkuu
Sikumbuki kama nilishawahi kumiliki mtandio
SinaUna mtoto?
PoaSina
Siku ukipata mimba uje utuambie kama na ww utaweka mtandioYaani hata ukute mdada ana mimba ya wiki mbili, yaani haionekani kabisaaa utakuta mtu anatundika Mtandio begani anafunika tumbo, mi nikiona mdada kafanya hivyo najua kabisa mzigo tayari.
Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au kuna mtu jirani kaolewa siku nyingi na hajabahatika?
Naomba kujuzwa.
ASANTENI
View attachment 1433245
Sawa Mkuu naona umeamua kunitusi hadharaniSiku ukipata mimba uje utuambie kama na ww utaweka mtandio
Mkuu, Usisahau na kutema team mate ovyo...!![emoji23]Usisahau vinguo vikubwa vifupi