Kwanini wadada wengi huvaa mabaibui meusi pekee?

Kwanini wadada wengi huvaa mabaibui meusi pekee?

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Mimi mwenyewe sio hijabi (not yet) lakini huwa nawaza kuwa nikifika umri fulani ningependa kuanza kuvaa Hijab kwahiyo huwa nafanya research yangu ya Hijab fashion sehemu nyingiii, online na offline.

Kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza ni kwanini wengi wanapendelea baibui za rangi nyeusi. Lakini nikaja kugundua kuwa ni tatizo la machaguo. Sehemu nyingi wanauza baibui nyeusi especially madukani, sijui kwanini. Lakini mimi napenda rangi tofauti tofauti na nadhani baibui likiwa la rangi linapendeza pia.

hijabi4.jpg
hijabi3.jpg
hijabi2.jpg
hijabi.jpg
abaya7.jpg
abaya6.jpg
abaya5.jpg
abaya3.jpg
 
Suala la kuaga hijaab nyeusi no la kiimani zaidi. Kutokana na mafundisho ya dini ni sunnah kwa mwanamke kuvaa nguo nyeusi. (Pia mwanamke amekatazwa kuvaa nguo zenye urembo na mauamaua)
 
Mimi sio muisilam lakini mdada akivaa hijab hua nadata kuliko ambae anavaa kmini dahaa napenda sana hawa watoto
 
Back
Top Bottom