Mimi mwenyewe sio hijabi (not yet) lakini huwa nawaza kuwa nikifika umri fulani ningependa kuanza kuvaa Hijab kwahiyo huwa nafanya research yangu ya Hijab fashion sehemu nyingiii, online na offline.
Kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza ni kwanini wengi wanapendelea baibui za rangi nyeusi. Lakini nikaja kugundua kuwa ni tatizo la machaguo. Sehemu nyingi wanauza baibui nyeusi especially madukani, sijui kwanini. Lakini mimi napenda rangi tofauti tofauti na nadhani baibui likiwa la rangi linapendeza pia.
Suala la kuaga hijaab nyeusi no la kiimani zaidi. Kutokana na mafundisho ya dini ni sunnah kwa mwanamke kuvaa nguo nyeusi. (Pia mwanamke amekatazwa kuvaa nguo zenye urembo na mauamaua)
Suala la kuaga hijaab nyeusi no la kiimani zaidi. Kutokana na mafundisho ya dini ni sunnah kwa mwanamke kuvaa nguo nyeusi. (Pia mwanamke amekatazwa kuvaa nguo zenye urembo na mauamaua)