So bora yeye anadharau sawa wewe ,huna pesa ,huna uzuri,huna nyumba,huna gari hata dharau hunaana dharau
Karibu LunchSo bora yeye anadharau sawa wewe ,huna pesa ,huna uzuri,huna nyumba,huna gari hata dharau huna
Niko kwenye mfungoKaribu Lunch
Ramadhani NjemaNiko kwenye mfungo
Tena kubwa sana.Duh kazi ipo
Mkuu google translator imeshindwa kazi,huna kingereza kigumuuu wewe.Dont blame them for hating Zari! Blame there know how and oblangata! Blame there thinking capacity and education level! Dont blame them blame there self confidence and self esteem! dont blame them u will not be doing justice to blame them as they r just a lost soul! Just blame there quaility of thinking capacity,blame there maturity level! mostly blame there EDUCATN EDUCATN!They dont know who they are! And did u know that they lack confidence in themselves???
hahahah wewe hiyo dharau umeishuhudia kwenye video au live alikuonesha? kwanza neno dharau mara nyuingi hutolewa na wasio jiamini kwa hiyo huona wajifiche nyuma ya neno dharau.ana dharau
You people bana zari mwenyewe hata hajui kama kuna kiumbe kama wewe sa Kaku dharau vipi πππSana asee mkuu..hicho tuu ndicho anachonikeraa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha zari huwa anakudhalilisha???? PoleJirani yangu madale...
hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.
karibuni dinner wapendwa
Umejuaje kama hanijui??You people bana zari mwenyewe hata hajui kama kuna kiumbe kama wewe sa Kaku dharau vipi πππ
Mkuu nilisikia umetangulia mbele ya haki tuka weka na r.i.p kumbe upoNgoja waje kujibu tuhuma