Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
kwa taarifa hao watoto wa zari baba yao ana mpunga mrefu kumzidi huyo diamond, wale watoto hawana shida hata kidogo, ingekua baba yao maskini hapo tungesema kafanya vibaya, wale watoto wamekula sana bata ulaya na baba yao, uache kuongea vitu vya kijinga,Huu sio utamaduni wetu.
Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?
Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
Umenifanya nicheke! Kwani Jecha amekosa nini?Wivu huo....muone sura utafikiri Jecha.
na wewe ushaacha kumfuatilia Mbowe ?..Mnapenda kufuatilia maisha ya watu du!
Huu sio utamaduni wetu.
Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?
Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
Mwanamke wa mkoani umefata nini huku??Wanaume wa Dar hawa!
Nimekufata wewe mwanaume wa DarMwanamke wa mkoani umefata nini huku??
hahahahahahahaWivu huo....muone sura utafikiri Jecha.