Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

Akome,na mtakoma sana mnaotelekeza watoto
 
Unauhakika kuwa alimtesa? mambo ya ndani kama huyajui we kaa kimya tu ni siri nzito. Wanaume wengi wanakifua cha kutunza siri huoni wakiwajaza sumu watoto wao.
We mwanaume wengi wazamani wametesa sana mama zetu .. Sidhani kama kulikuwa na good treatment domo aamue tu kumtosa Mzee wake haipo hiyo..
 
Nachoona mtoto kaathirika kipsychologia kuna mzee alilizwa hospital ninayofanya kazi lakini nilishangaa kwa nini hana mtu wa kumhudumia naye alikuwa na historia ya kukimbia familia .Kwa ushauri wangu diamond jitose umfungulie mzee biashara hata ya kama m5 hadi m10 ili iendelee kumsaidia asiwe tegemezi kwako yapotezee ya zamani
 
Yaani unatia mimba then unasea!...hujui anakula nini,atasoma vp!..wa hivyo Ni baba wa ajabu na anastahili anayotendewa!
 
Baada ya Paul Ince kuwa maarufu na klabu ya Liverpool wakati flani mazoezini aliibuka mwanaume aliye dai kuwa ndio Baba yake mzazi, Ince alimtimua huyo jamaa huku akimuuliza ulikuwa wapi siku zote hizo mama akihangaika na mimi.
 
Baba ni Babatu, hata kama Alikukataa ni Baba yako na Vitabu Vya Dini Vimetuhasa Kuwaheshimu hata kama wamekukosea. Kwetu wa Kristo tumeambiwa tusamehe 7x70 kwetu hakuna Jino kwa Jino.

Ndugu Naseebu Msamehe Baba yako, na umtunze, maana huyo ni Baba yakotu, Hapo ulipo hata yeye amehusika kwa kukuleta duniani, wacha Dhana za jino kwa jino, maana hata torati ya Mussa inasema Muheshimu Baba yako,.
 
Usimnyonge ile kupiga kelele ya kutaka Huduma peke yake inamtosha,
 
Hapa napo panahutaji DNA. Huenda si baba ....
Naota tu
 
Muulize kasahau nini?
 
Hanyanyaswi MTU hapa ukweli tu anaambiwa. Usiombe kutelekezewa watoto wakiwa wadogo huku mwenzio akitunza wengine. Halafu ajira huna!

Mimi naona ni wote tu inategemea mtu mwenyewe.
1. Mara ngapi wanawake hutelekeza watoto kwa waume zao?!
2. Laiti angekuwa ni mama katenda kosa hili mtoto asingejali lakini ni baba anasulubiwa na kunyanyapaliwa
 
kwani umesikia hamuheshimu?
 
Yaani unatia mimba then unasea!...hujui anakula nini,atasoma vp!..wa hivyo Ni baba wa ajabu na anastahili anayotendewa!

Hahahahah nacheka kama mazuri,

Nami najibana naliandaa jembe langu,nimejiapiza lazima asome havard,afu kama hatakuwa best basketball player acheze usa basi atakuwa best scientist

Time will tell,and success is the best revenge
Na sina mpango wa kuolewa wala kuzaa, my son is my project,ambayo naivest heavily toka mdogo na Mungu hamtupi mja wake itamachure tu when the time is right.
 
Na wewe naye, ni kama unataka baba yao hasipewe muda wa kula bata na watoto wake... Muache tu D na mkewe na maisha yao.

Hivi Zari all white party ndio itafanyika ile MAY 17/18 au ile ni show ya kawaida kwa DSM?
 
Baba yao yupo na yeye atawapeleka kwa wakati wake. kama hana chapaa kutwa nzima ashinde Instagram kwenye page ya Zarimond teh teh.......
 
Wewe Ni KE au ME?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…