Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

Kwani lazima alishwe na Dimondi?
Hapo sasa..huko kwingine alikokuwa hana watoto...queendarin mbona hatajwi si mwanae..tena km anadhn amuaribia domo basi aanapoteza muda..anajidhalilisha mwenyew
 
Wanaume huwa tunajisahau sana,

Ila naweza nisimlaumu sana huyo dingi, wanawake aina na Mama Mondi na Mama Wema huwezi kukaa nao hata miaka miwili anaoneka anamdomo mchafu sana...
Na mamake queendalin je mbona hakukaa nae...huyu mzee insonyesha enz zake alikua kito......I....kwanza sio mzee hapo alipo...babangu mzee kuliko huyo na anatafuta riziki mwenyew
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kuchomeka kibamia, kumbe vinadharaulika bure tu ila kazi vinaweza
 
Imeakaaje Diamond hapa unaenda kula bata za mamilioni kwa ulaya wakati huku nyuma umemuacha mshua anapga miayo ya njaa?
Hili ukilichukulia juu juu linakera. Lakini hebu tuzame ndani zaidi kulikoni platnum amtende hivyo baba yake?
Kama baba yake alimtenda platnum, yeye platnum hana dini mpaka ashindwe Kumsamehe baba yake?
Inasikitisha sana!
 
Hivi Zari all white party ndio itafanyika ile MAY 17/18 au ile ni show ya kawaida kwa DSM?

Sijui tarehe kwa ya mwaka huu sikupata kazi ya kuwabebea mikoba nami niende kutanua nao walipo...lol. Mwaka jana ilikuwa wikiendi ya kwanza ya Mei. Ngoja niendelee kujiuzia ndimu zangu kusubiria..., tangazo la Baba Tiffah na Neyo kuburudisha mwezi wa tano mjini Mwanza limetoka na ticket wameshaanza kuuza.
 
Alafu wanandoto za kua mamilionea!Mwisho wa siku wanaishia kupakatwa.
Na wanaowapakata ni vijana wanaowaita wakuja kutoka mikoani....ambao wanapigana usiku na mchana kuweka mamabo juu ya mstari....mwisho wa siku wakiwaonyesha mafanikio yao wanawasema wanawaringishia....
 
Vyo vyote itakavyo kua Mzazi atabakia kua mzazi,yeye kama mtoto atimize majukumu yake kwa mungu na mzazi wake
mwenyezi mungu atamlipa kwa maovu yake...
Ni sawa mzazi ni mzazi ila tujiulize ni nini adhabu ya mzazi anayemsababishia mwanaye kifo kwa uzembe/makusudi? kwamba umemtupa mtoto chooni, umemnyima chakula n.k.alafu unataka kuamini kwamba maisha yako yatakuwa sawa tuu kama vile hakijatokea chochote?

Sina tatizo iwapo Mondi atamsamehe, ila pia sioni tatizo iwapo Mzee ataendelea kuvuna alichopanda.

Na kama tunaamini Mungu hulipa....kwa nini hayo yanayomfika usiyahesabu kama ni sehemu ya malipo hayo?
 
vipi mkuu! ile laki moja uliyokuwa unaazima kwa kuweka bondi flat screen ulipata? tuanzie kwrnye matatizo yako kwanza.
 
fikiria kitu kingine hayo mambo ya kifamilia zaidi wewe hayakuhusu
 
Wewe wako,umeshampeleka hata hapo znz? Au hata mama yako umempeleka holiday sehemu yoyote ile? Jali yako,wamepelekwa na baba yao,kwani kuna ubaya gani? Juu ya kuachana hao watu,( zari na Ivan)angalau,wote wana play part kuhusu malezi ya watoto wao
kisukari +akanana=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…