Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali italipa.
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?