Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Maigizo ya bongo ni zaidi hata ya yale ya akina ze bulldozer 🤪Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali italipa.
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?
Sasa PCM anahisika hivi na Hoja yako??!!Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali italipa.
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?
Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali italipa.
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?
Tulishasema kuwa hizi ziara za Makonda zinaivua nguo serikali ya CCM na kumjenga Makonda,sasa kimeongezeka kipengele cha kuigombanisha serikali na wananchi. Tutaerewana tu.Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali italipa.
Kama wanaoidai serikali wanafungwa mdomo uhuru wa kutoa kero upo wapi?