Urongowanajitoa sana kutuletea maendeleo.
Unakuta Jengo na Fenicha zote za ndani na nje hazifikii thamani ya Land Cruiser moja.We unajuwa tabu wanazopitia katika kutuhudimia?
Acheni Viongozi wetu wafanye kazi wanajitoa sana kutuletea maendeleo.
Tatizo siasa imepewa kipaumbele kuliko chochote kile.Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Mkuu wa wilaya ya kinondoni,ilala na temeke Wana sababu gani ya kutembelea V8?
Jamaa wanajipendelea wao tu kwani kuna haja gani ya mbunge kupewa 300M baada ya miaka 5!!?Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Ni ufujaji tu wanafanya kwa kuwa Katiba chakavu iliyopo haiwapi wananchi sauti.Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Wanajisevia Minyama tu