Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Siyo mimi wewe kwanza umechukuaWewe umechukua form ?
Binafsi naamini kwa msomi watanzania hakuna ambaye hajuhi job description ya wenyeviti ila mimi naona wasomi wengi hawataki kwakua haina maslahi makubwa au hakuna maslahi kabisa.Nini Job description ya Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa na Je hio inahitaji degree kuweza kufanya hayo anayotakiwa kuyafanya ?
Labda tuanzie hapo...
Karibu vyama vyotechama gani
Mimi nataka wewe naamini unasifa ya kuwa mwenyekiti wa kitongojiwewe vipi ulijitokeza kugombea ili tukuchague?
usiandike kitu bila tafiti,katika vijiji karibu vyote nimetembea nchini ,CHADEMA inawagombea na nyumba 10 ,uchumi wako vizuri na elimu Yao haijaishia kuweza kusoma na kuandika tuKaribu vyama vyote
In short kwangu mimi neno Usomi / Wasomi inaweza kuwa disqualification Kwangu mimi Mwenyekiti wa Mtaa ni Mtu wa Watu aliyepo pale kutekeleza shida mbalimbali za watu (always available); kwahio kama ni wasomi hao hao wanaoliuza Taifa letu... I had rather have anyone ambaye yupo pale kwa ajili ya watu no matter idadi ya Vyeti alivyonavyo kapuniBinafsi naamini kwa msomi watanzania hakuna ambaye hajuhi job description ya wenyeviti ila mimi naona wasomi wengi hawataki kwakua haina maslahi makubwa au hakuna maslahi kabisa.
Mfano wangekuwa wanaposho kubwa, au mshahara leo tungeona foleni za watu kugombea.
Nimeshuhudia watu wanapelekewa fomu wanakataa
Hakika upo sahihiIn short kwangu mimi neno Usomi / Wasomi inaweza kuwa disqualification Kwangu mimi Mwenyekiti wa Mti ni Mtu wa Watu aliyepo pale kutekeleza shida mbalimbali za watu (always available); kwahio kama ni wasomi hao hao wanaoliuza Taifa letu Had rather have anyone ambaye yupo pale kwa ajili ya watu no matter idadi ya Vyeti alivyonavyo kapuni
Sijakataa, ila umeelewa nilichosema?? Ndymana nimesema tusilete siasausiandike kitu bila tafiti,katika vijiji karibu vyote nimetembea nchini ,CHADEMA inawagombea na nyumba 10 ,uchumi wako vizuri na elimu Yao haijaishia kuweza kusoma na kuandika tu