GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kinana amewapa agizo kuishambulia Chadema ili kudhoofisha maandamano yao.Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
CDF anamuulizia!Kinana amewapa agizo kuishambulia Chadema ili kudhoofisha maandamano yao.
CCM inatoa ruzuku tena kwa kiapo cha damu kwa hizo media.Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
Naunga mkono hojaMedia ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
Mezea unataka kufukua makaburi, Kinana angekua kiongozi wa Chadema tusingemsikia kwenye majukwaa ya siasa kwani wangemfanya kama Lemmy Ongala ikabidi ajiunge na CCM saa nane za usiku.CDF anamuulizia!
Soon hata report ya CAG mtaiita ujingaMedia ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
special mental caseMedia ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
Special Mental Case yangu inazidi hii yako hapa chini kwa kujua kabisa kuwa hujui Kiingereza halafu bado unajitutumua Kukiandika na Kukikosea na Kukichapia hivi?special mental case
Ungescreen shoot hilo hiyo Sehemu Kwenye hilo gazeti,hbr picha ni sawa na Pilau bila masala.Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.
Umesahau si kwamba alikataa kuongea nao bali alipotua tu pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ( Dar es Salaam ) kutoka Safari yake ya Kimaifa aliwaita Waandishi wa Tanzania WAPUMBAVU ( FOOLS ) na kusema kuwa atakubali Kuhojiwa na BBC pekee kwakuwa ndiyo Wanajielewa na wako Kiuweledi zaidi huku akiwakubali mno.Kuhusu "media" zetu huwa namkumbuka marehemu Benjamin Mkapa alipokataa kuongea nao.
Umechelewa kuwafahamu ndugu.Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.
Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.
Mmenikera sana.