Kwanini wahindi wengi posta na kariakoo hufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi saa nne na kufunga saa kumi na moja

Kwanini wahindi wengi posta na kariakoo hufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi saa nne na kufunga saa kumi na moja

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
 
Sikia maisha ni ratba zako tu wahindi wengi wanachelewa kuamka na akiamka ibada na chai ndo aje kqzini, jion ni kuogopa hatar ya kuporwa

NB: kulala sana haikufanyi kuwa masikini ikiwa aiathiri biashara yako
 
Wanaenda na maisha ya wengi
Uvivu na kujivuta ni kawaida ya umasikini kwa hiyo nao wame adapt maisha hayo
Na siku mvua ikinyesha ndio hawafungui kabisa maana tunaogopa mvua kama tutayeyuka

Kwanini nasema hivyo?
Wahindi wa nchi zingine matajiri wao ndio wamewafundisha mpaka wazungu kufungua biashara moaka jumamosi na jumapili wakati wazungu walikuwa hawafungui siku Tatu miaka ya nyuma

Ila siku hizi wameona walichelewa sana na sasa wanafungua masaa 24
Huku nikitaka maziwa saa 5 ya usiku naenda supermarket napata
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Ata walikotoka maduka wanafungua saa nne au tano asubuhi
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Wanafiata ushauri wa wataalam kwenye muda wa kufanya kazi kati masaa 8 Hadi Tisa, Tena Wana break ya lunch,
 
Golo shida sana, tabu yako nini sasa, nini nawasha washa!,
Indians are big brain.
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Wahindi wana socialise sana wenyewe kwa wenyewe. Ule muda wa usiku huutumia kukutana kwenye maeneo yao, huko watakula pamoja, wataimba, watacheza, watapiga vyombo vya muziki, watacheza mpira, wataangalia pamoja movies, watafanya group calls na wenzao wa sehemu mbalimbali duniani
Kupitia ku socialise huko hiwa pia wana maintain identity yao na wanatafuta na kupeana connections.
Kwa huko bongo, wengi hujikuta wanarudi kulala saa 6 au 7 na kabla hajatoka nyumbani lazima ale chakula nyumbani na wapigiane tena asubuhi kama walifika na kuamka salama. Je hapo haujafungua duka saa 3?
Twendeni Birmingham.
 
Kabla ya saa 3 asbh na baada ya saa 11½ jioni wateja wanakuwa wachache sana wanaona wanapoteza muda bure.
 
Ikifika sa8 wanafunga wanaenda kutoo mbana,wahindi hawasex usiku ni mwiko.
Sio mwiko,mchana watoto wameenda shule,wao ukaa kwenye vidisco ambapo watoto na ndugu wote wa kiume ulala chumba kimoja na baba na mama na jinsia yake pia.
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Tupe jibu wewe ....utasikia ushirikina.....tunasubiri majibu unayoyataka wewe
 
Wanaheshimu muda wa kazi

Muda wa kazi kisheria ni Masaa nane.Wakiuza Masaa nane wanaenda kupumzika na kustarehe.Kazi na dawa
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Vyumba vyao ni Vidogo na huzaa Watoto wengi hivyo muda wa Usiku huwa ni ngumu kwa Wao Kutiana / Kungonoka hivyo huo muda wa mchana au unaouona huwa wanafunga Maduka yao na Kuchomoka huwahi Majumbani mwao au Vyumbani Kutinduana / Kubanduana, kwakuwa mida hiyo Watoto wao wengi wanakuwa bado hawajarudi kutoka Shuleni.
 
Back
Top Bottom