Joka Kuu unachosema ni kweli kabisa.Imani ni kitu cha ajabu kwasababu inapofika hapo kila mmoja anaacha busara au hekima na hata kupinda ukweli kitu ambacho ni kinyume na dini zenyewe zinavyotaka.Kichuguu, Mkandara, Nguruvi3, Mohammed Shossi,
..jamani hii mijadala ya DINI hamtofikia suluhu hata siku moja.
..unaweza kukuta mtu ni very objective and understanding, lakini linapoingia suala la dini tu anakuwa mtu tofauti kabisa-kabisa.
..binafsi sijui hii nchi inapoelekea ni wapi, lakini mijadala ya dini hapa JF inanipa wasiwasi sana na kinachoweza kutokea huko mitaani.
..baada ya mauaji ya kimbari kule Rwanda, sasa wenzetu wamepiga marufuku utaratibu wa kutaja makabila yao.
..tunachopaswa kufanya ni kuazimia kuishi pamoja kama WATANZANIA na masuala ya dini yawe ya mtu binafsi.
Mkuu wangu unaponiona mimi naingia kt mijadala ya dini ni kwa sababu napenda sana tuondoe chuki baina yetu maana imekwisha ingia na inatumaliza. Nimeyasoma na kuyasikia malalamiko ya waislaam pamoja na kutokuwa na wawakilishi wa maana nimewaelewa kama nilivyowaelewa wasukuma wa Bulyahulu au Wamasai wa Loliondo. I have big problem kwa nini ndugu zangu wakristu wanashindwa kuona kwamba swala hili la MuO linavunja UTANZANIA WETU..I have propblem with that.. halafu linapaliliwa sana hapa JF kwamba it's okay hata kama ni kinyume inajaliwa services zake! Hatuwezi kusema sisi Watanzania ikiwa kuna kundi la watu wanadai kubaguliwa halafu hatuna majibu isipokuwa tunawalazimisha wakubali hali hiyo. Tofauti na Kagame ambaye kaweka uwanja sawa halafu kasema nione mtu akizungumzia Ukabila maana hakuna mahala unapoweza kusema Wahutu wanaonewa chini ya Utawala wake. na kinachokatazwa ni kuzungumzia vita ile hasa akiwalenga kabila lake mwenyewe kutolipa kisasi kwa sababu yeye yupo madarakani.Kichuguu, Mkandara, Nguruvi3, Mohammed Shossi,
..jamani hii mijadala ya DINI hamtofikia suluhu hata siku moja.
..unaweza kukuta mtu ni very objective and understanding, lakini linapoingia suala la dini tu anakuwa mtu tofauti kabisa-kabisa.
..binafsi sijui hii nchi inapoelekea ni wapi, lakini mijadala ya dini hapa JF inanipa wasiwasi sana na kinachoweza kutokea huko mitaani.
..baada ya mauaji ya kimbari kule Rwanda, sasa wenzetu wamepiga marufuku utaratibu wa kutaja makabila yao.
..tunachopaswa kufanya ni kuazimia kuishi pamoja kama WATANZANIA na masuala ya dini yawe ya mtu binafsi.
Kichuguu, Mkandara, Nguruvi3, Mohammed Shossi,
..jamani hii mijadala ya DINI hamtofikia suluhu hata siku moja.
..unaweza kukuta mtu ni very objective and understanding, lakini linapoingia suala la dini tu anakuwa mtu tofauti kabisa-kabisa.
..binafsi sijui hii nchi inapoelekea ni wapi, lakini mijadala ya dini hapa JF inanipa wasiwasi sana na kinachoweza kutokea huko mitaani.
..baada ya mauaji ya kimbari kule Rwanda, sasa wenzetu wamepiga marufuku utaratibu wa kutaja makabila yao.
..tunachopaswa kufanya ni kuazimia kuishi pamoja kama WATANZANIA na masuala ya dini yawe ya mtu binafsi.
Mkuu wangu kuna ukweli mkubwa sana ktk maelezo yako lakini jambo moja tu pengine mimi nitawalaumu moderators kwa sababu wanajua fika kwamba maswala ya imani za dini ni vert sensitive na hayatakiwi kuingia hapa hasa kwenye ukumbi wa siasa.Nguruvi3, Mkandara, Kichuguu, mohamed Shossi,
..hii mijadala ya KIDINI ni very tempting kuchangia ukifikira kwamba there is something +ve that may come out of it.
..mimi nimeshiriki sana hii mijadala ya kidini hapa JF lakini nilichogundua ni kwamba hakuna kusonga mbele.
..utakuta hoja zilezile zinajirudia tena na tena, na wachangiaji ni walewale, na haionekani kwamba wamebadilika toka kimtizamo toka mijadala iliyopita.
..tuwe wakweli: hivi mjadala huu unaoendelea sasa hivi haujawahi kuwepo hapa JF??
Mkuu wangu kuna ukweli mkubwa sana ktk maelezo yako lakini jambo moja tu pengine mimi nitawalaumu moderators kwa sababu wanajua fika kwamba maswala ya imani za dini ni vert sensitive na hayatakiwi kuingia hapa hasa kwenye ukumbi wa siasa.
Ni muhimu sana wawe na control a ukumbi huu la sivyo JF itakuwa chombo kingine cha kueneza Udini maana inaharibu kabisa mada nyingi sana tunapohoji imani za wengine. lakini tutafanya nini ikiwa leo hata CCM, Chadema na CUF ni kama maadui. Pengine hizi sio tamaduni zetu tunalazimisha tu na kujifanya tunajua sana kumbe waja watupu..
Sensa ya mwisho ya Tanganyika chini ya mkoloni wa Kiingereza katika mwaka 1957 ilionyesha kuwa Tanganyika ina Waislamu 58%, Wakristo 32% na Wapagani 10%. Uwiano kati ya Waislamu na Wakristo ilikuwa ni karibu 2:1 yaani kila penye watu watatu, 2 ni Waislamu na 1 ni mkristo, vile vile unaweza kusema waislamu walikuwa ni karibu mara mbili ya wakristo kiidadi Tanzania.
Mwaka 1967 ndio uliotoa matokeo ya ajabu ambayo mpaka leo sio tu Waislamu bali mtu yoyote aliye na akili timamu ana haki ya kuhoji matokeo hayo. Matokeo haya yalionyesha mgawanyiko wa kidini kama ifuatavyo: WAKRISTO: 33.5% yaani wameongezeka kwa 1.5% kulinganisha na sensa ya 1957. WAISLAMU: 31.4% yaani wamepungua kwa 26.6% katika kipindi cha miaka 10 tu. Hii haikuwahi kutokea sehemu yoyote Duniani iwapo sehemu hiyo haikukabiliwa na janga kama vile vita au jambo lolote lilisababisha idadi kubwa ya watu kufariki. Hata china ambayo imeweka sheria ya kuzaa mtoto mmoja tu basi haikuwahi kupungikiwa na watu au kundi fulani la watu katika nchi yao. WAPAGANI: 34.3% yaani wameongezeka kwa 24.3% kwa kipindi cha miaka 10.
Mkuu wangu Kubwajinga naomba source ya takwimu zako.
Mkuu Ngongo,
Hizi ndio source zangu;
- National Library of Canada, Ph.D Thesis, 1991, Abdin Noor Chande, Islam, Islamic Leadership and Community Development in Tanga, Tanzania, ISBN 0-315-74635-1. (Document ni kubwa, ila kwa haraka unaweza kuangalia "Notes to the Introduction, pg 31" ina summary ya kutosha).
- African Census Report 1957, Dar es salaam Government Printer, 1963.
Mkuu Zomba,[video=youtube_share;uPzzGg32H8c]http://youtu.be/uPzzGg32H8c[/video]
Mkuu Zomba,
Watu kama huyu tapeli anayejiita kuwa ni Shehe ndio wanaoleta vurugu na kuwayumbisha waislamu. Kama waislamu wangeelezwa ukweli ingekuwa rahisi kutafuta ufumbuzi wa mambo mengi yanayowarudisha nyuma.
- Hizi hadithi za mkoloni+ukristo vs uislamu, ni za zaidi ya miaka 50, ziwe za ukweli au la, lakini hazimsaidii mtoto wa pale Tanga, Bagamoyo, Kilwa, Mtwara n.k. ambaye shule sio muhimu kama ilivyo madrasa. Wakati huo huo, mtoto wa pale Moshi, Arusha, Mbeya n.k. muda wake wa shule ni shule tu. By the time mtoto aliyetumia muda wake mwingi madrasa anapoingia darasa la 3,4,5 hivi, anakuwa yuko nyuma, kusoma kwa ushindani inakuwa shida na ubongo unakuwa umeshavira. Hapa sina maana kuwa watoto wote wanakuwa hivyo, bali sehemu kubwa sana wanaathirika na hilo. I am talking from experience.
- Yapo matatizo mengine mengi tunayoweza kujadili ambayo yanaweza pia kuwa ndio yanawarudisha nyuma waislamu. Lakini kama hii tabia ya kufikiria kuwa wanaonewa bila kuwa na uthibitisho haitaondoka, itakuwa vigumu kutafuta suluhisho na huu umbumbu utaeendelea kwa walio wengi na hatimaye tunaishia kutoamini takwimu kwa sababu sisizo na msingi.
- Huyu bwana kwenye video sijui ana elimu ya kiwango gani, lakini sidhani kama ana degree yoyote, kama nitakuwa nimekosea nitaomba kurekebishwa. Lakini utaona wazi kuwa ameweza kuwapumbaza wengi kwenye huo umati wake.
- Ingekuwa vema pangekuwa na jumuiya ya wasomi wa kiislamu wa elimu dunia, wanaoelewa historia na makosa waliyofanwya waislamu, hasa ya kutotilia maanani elimu dunia, ili waweze kuelimisha umma wao na kuwapinga hawa wanaotumia umbumbu wa baadhi ya waislamu kuwafanya wajione kutofanikiwa kwao ni kwa vile tu wanaonewa. Hawa wachonganishi wanaotoa hii mihadhara hufanya hivyo kwa manufaa yao binafsi na sio kwa ajili ya waisalamu au kwa ajili ya nchi.
Tusiogope kutaja dini as long as tunajadili kwa busara na sio jazba na matusi.
Lakini swali la kujiuliza ni hili, je tukishafahamu huo uwiano utatusaidiaje? Binafsi naona una manufaa yake, ingawa sio makubwa sana, katika kupanga mipango ya maendeleo. Kujua idadi ya watu wa dini mbali mbali na mahali walipo inaweza pia ikasaidia katika kutafiti na kuelewa mambo mbalimbali yanayoihusu jamii kama magonjwa, matumizi ya huduma na bidhaa n.k. Kwa mfano, tunapochunguza usambaaji wa Ukimwi, unaweza kuangalia trends kutokana na maeneo ya watu wenye imani na mila za aina fulani na ukaelewa ni jinsi gani ya kurekebisha tatizo.
- Binafsi nafikiri uwiano wa sensa ya mwaka 1957 ambayo inaonyesha kuwa, 30.9% waislam, 24.9% wakristo, 44.2% dini asilia na ile ya 1967 inayoonyesha kuwa, 31.7% waislam, 31.2% wakristo, 36% dini asilia na 1.1% others, zinaweza zikawa ni sahihi.
- Ongezeko kubwa la wakristo ni rahisi kulielewa kama utaangalia hizo takwimu pamoja na kudadisi historia ya usambaaji wa hizo dini nchini mwetu.
- Uislam kwa kiasi kikubwa ulisambaa nchini enzi za biashara ya utumwa na ndio maana utaona mtawanyiko wake kwa kiasi kikubwa nao unafuata maeneo yale yale ambayo hiyo biashara ilikuwa komavu. Hapakuwa na jitihada za waislamu kusambaza dini yao, kwa hiyo ongezeko lao zaidi lilitokana na ongezeko ndani ya familia (uzazi).
- On the other hand, ukristo uliingia nchini ukiwa na support kubwa ya nguvu ya dola ya mkoloni na waliouleta ukristo waliuleta kwa nia moja tu, kusambaza dini yao kwenye kila kona ya bara la Afrika. Walifanikiwa sana kwenye maeneo ambayo yalikuwa na watu wa dini za asilia na kwa kiasi kidogo maeneo ya waislamu. Hii iliendelea hata baada ya uhuru na nafikiri bado inaendelea kwenye baadhi ya maeneo hivi sasa.
- Kwa hiyo kama trend ya ongezeko la wakristo, linaloonekana kwenye sensa ya miaka ya 1957 na 1967, likitumiwa kama kigezo cha kuangalia uwiano wa wakristo na waislam hivi sasa, sina shaka wakristo watakuwa wengi zaidi.
Kwa hiyo utaona kuwa kujua idadi za watu kutokana na imani zao sio jambo baya, bali tunapolifanya kuwa ni siri, ndio mwanzo wa kuleta conspiracy theories na watu kuacha kuiamini serikali yao.
Mkuu Ngongo,Mkuu wangu Kubwajinga kwanza nianze mjadala huu kwa kuangalia sababu ulizozitoa kwanini waKristo waliongezeka kwa kasi kubwa between 1957 - 1967 ingawa mpaka sasa bado napatwa na ukakasi wa usahihi wa takwimu zako.Umesema ukristo uliingia nchi na kusambazwa mkoloni [mwingereza &mjerumani] mpaka hapo sina kipingamizi,lakini pia uzingatie mwaka 1967 tulishajitawala kwa zaidi ya miaka sita ?.Sensa ya mwaka 1957 iliendeshwa na wakoloni miaka minne baadae Tanganyika ikajipatia uhuru na miaka mitatu baadae tena tukaungana na Zanzibar yenye waIslamu wengi nadhani hapa ndipo mkuu Mohammed Shossi anapopata ugumu wa kukubaliana na takwimu za sensa ya mwka 1967.
Nitakubaliana na wewe kwamba ongezeko la idadi ya wakristo Tanzania linatoka na mikakati ya wakristo wenyewe kuieneza dini yao na si nguvu za wakoloni kwakuwa ongezeko hilo limetokea wakati tumeshajipatia uhuru.Ni wazi kabisa ongezeko la wakristo limekwenda sambamba na kupungua idadi ya waumini wa dini za jadi[44.2% 1957] & [36% 1967] na si kupungua idadi ya waumini wa dini ya kiislam.Ikiwa takwimu zako ni sahihi na sababu ni hizo nilizosema basi nidhahiri taasisi za kiislamu hazikufanya juhudi kubwa za kuineza dini yao baada ya utawala wa kiarabu kuondoka Tanganyika ukilinganisha na wakristo hasa madhahebu ya wakatoliki,walutheri,waanglican na AIC ambao siku zote wamekuwa na vitengo kwaajili ya kuineza dini katika maeneo ambayo bado kufikiwa na imani yao.