nimeona tujadili hili swala hapa sijui kama limewaijadiliwa kuna tabia imezuka tena kwa kasi sana wanawake kuvaa pete za ndoa wengine za uchumba wengine zote mbili na ukweli awajaolewa wala awana mtu na kaupelelezi kangu kinaonyesha wanaume wengi mafataki wanapenda wanawake wa aina hiyo cjui kwa nn ebu tubalishane mawazo
ni kweli mkuu kila mmoja na sababu zake ila wengi wanakuwa na waume za watu
Wanaume mmezidi usumbufu ndo maana.
Wengine wanavalishwa na waume za watu, kifupi ni nyumba ndogo!
Makubwa!
I can sense you are speaking from experience!Ya nini kuolewa?
I can sense you are speaking from experience!
pole kwa usumbufu mamaaa! just tell them NO!Wanaume mmezidi usumbufu ndo maana.
Habari ndio hiyo.
Zaidi, hata wasichana siku hizi hawataki kuolewa. Wanawinda wanaume walioa, wawajengee nyumba na kuwanunulia magari. Wanapendelea wanaume waliooa kwa sababu wanajiheshimu, wako busy na familia. Hii inawafanya wasichana kupata muda free kujirusha na kufanya mambo ya maendeleo independently kuliko kuolewa ambapo ina kuwa kana unalea JIPU LA KWAPA.
Ya nini kuolewa?