Kwanini wakati wa baridi nasikia goroli zangu zinauma??

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,886
Reaction score
1,038
Madaktari bingwa wa JF.Naishi dar ila baridi ya siku mbili zilizopita hizi goroli zangu zilikuwa zinaniuma mpaka nikawa napata tabu kuendesha gari,ila leo joto niko safi tu!! Wakuu tatizo ni nini???? Naombeni ushauri.
 
Ngiri hiyo Mkuu ama Henia Wahi Hospital,
 
Mh zinaumaje hizo goroli pole sana mwone daktari mapema mana huo ni ugonjwa
 
Henia hiyo mkuu, suluhu yake ni mzizi mmoja mchungu sana ukiunywa huo unapona kabisa lakini ukikaa kimjini zaidi basi wapo wataalamu wa upasuaji lakini mmmmh unajua uumbaji wa Mungu ni wa ajabu sana hizi gololi zina vishipa vidogo sana ikiwa upasuaji utakuwa sio makini basi ukipona baadae bunduki inakuwa na uwezo mdogo wa kutupa risasi.

Ngoja wataalamu wanakuja.
 

nitumie hiyo dawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…