Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hili ndio swali lako la msingi, kwengine umezunguka.
Hii sio sababu ya msingi, hata kama wangekuwa 20%ya wakazi wa Dar, inapofika mwezi mtukufu, 20%ikitoka, kwa kuacha kula hotelini, lazima impact kwenye biashara itaonekana na biashara zinazodorola zaidi ni za vyakula.Waislamu ni wengi sans hapa Tanzania kuliko waumini wa dini zengine.
π π π π πHili ndio swali lako la msingi, kwengine umezunguka.
Maweeee!Waislamu ni wengi sans hapa Tanzania kuliko waumini wa dini zengine.
ππππ
By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.Waislamu ni wengi sans hapa Tanzania kuliko waumini wa dini zengine.
Sasa kwanini baada ya mfungo biashara inakuwa nzuri?,Je,waislamu ndo watafunaji wazuri wa kitimoto?,je waislamu ndo wanywaji wazuri wa pombe kuliko sisi watu wengine?.Acha hizo fikra hivi hizo biashara unazozizungumzia zinadorora ni mpaka huko kwenu mikoa ya nyanda za juu kusini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu.Swali kubwa tunalojiuliza Ni kudolola kwa haka ka mnyama aisee