By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.
Wakatoliki na Walutheri walikuwa zaidi ya 20 million na Mbatia alisema hili hadharani.
Ni sawa na mwendawazimu mmoja aseme Belgium ni ndogo mara elfu kumi inawezaje kuizidi uchumi Tanzania? πUzur wa Data uwa hazijifichi. Yaan mtu anaeoa wake mpaka wa nne azidiwe na mweye ka mke kamoja Tena anaetumia uzazi wa mpango.
Imani haba tu hiyo, waislamu wengi wa ulaya wanakuwa atheist.Sikilizia baada ya Miaka 20 kitakachotokea Ulaya.
Kwamba kiongozi wa Tanzania huwa anachaguliwa kwa kuangalia dini yake? Have some sense weweIngekuwa wakristo ni wengi Basi Dr Slaa angeshinda urais mwaka 2010
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia ni Mwalimu mzuri,Nina Kitabu cha Historia ya Muhammad,ktk kitabu hicho kinaonyesha jinsi huyu jamaa alivyopigana vita vya jihad.Huna ujualo ndugu yangu kuhusu jihadi alizopigana mtume wala waliomfuata baada ya kuondoka.
Mtume na waliomfuata wote walipiga vita vya kujihami..katka historia hakuna mahali inayoonesha uislam uliingia mahali kwa vita.
Uliposema turejee mtume hapo ndo ulipokosea coz vita vyote alivyopigana mtume ni vita vya kujihami baada ya kuvamiwa.
Kama unarejeo tofauti...tafadhali naomba kufahamu.
Kudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaaa.CHAULA RICH una upungufu mkubwa wa busara. Ona sasa mpka una mtusi mwenzako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
binafsi nimependelea saana mjadala na DeWitt J kuliko wewe CHAULA RICH.
Mwenzako kwanza hana ushabiki kama wewe...mwenzako anazungumza anachokifaham kwa kupitia vyanzo kuntu. Ana hoja zinazo sound...
Mwenzangu na mie CHAULA RICH pole saana mijadala ya dini sio saizi yako.
Halafu kuna Mhuni anakataa kwamba Muhammad hakufanya vitendo vya hivyo.watu bhana?!!.Hiki kisa ni maarufu sana nimeanza kukiuliza toka 2018 na sijawahi kupata majibu.
Unakifahamu tafadhali niambie kwanini aliwaua na tena aliwaua wanaume tu kisha akawapeleka wake zao utumwani
Kudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaaa
Sasa embu niambie kidonda ulichokigusa hapo...yaani point gani haswa uliyoigusa inayodhoofisha UISLAMKudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaa
Historia ni Mwalimu mzuri,Nina Kitabu cha Historia ya Muhammad,ktk kitabu hicho kinaonyesha jinsi huyu jamaa alivyopigana vita vya jihad.
Huo mdororo upo dhahir huko dsm, kule nyanda za juu biashara zinaendelea kushamiri.Acha hizo fikra hivi hizo biashara unazozizungumzia zinadorora ni mpaka huko kwenu mikoa ya nyanda za juu kusini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo percentage waislam huzikosea kwa kujilinganisha na katoliki pekee, wanayasahau madhehebu mengine ya kikristo.Maweeee!
65% ya Watanzania ni Wakristo. Uko dunia gani wewe?
Waislamu ni rahisi kuwafanyia sensa kuliko unavyofikiri, mna maeneo yenu mmejazana (sitayataja) ukifika hadi unaboeka yani unahisi uko Somalia.
Mwanza inakadiriwa kuwa na watu million 2 na point alafu laki sita ni wakatoliki tu sasa jiulize madhehebu mengine yana wangapi na imani yako ina wangapi
Huwa wanahesabu katoliki peke yake.Mwaka 2014 Jimbo la Kigoma Iina eneo la kilomita za mraba 45 066 kukiwa na idadi ya watu milioni
2, ambao kati yao 515 701 ni Wakatoliki.
Ndugu Shaibu Kigoma kwenye maulamaa kuna wakatoliki laki tano je Lutheran, Anglican, AICT na makanisa ya ki-pentecostal?
Umemuelewa VP kwanza uliulizwa unaa akili timamu au upo kiushindani tu
Umemshukia[emoji1][emoji1]Hili ndio swali lako la msingi, kwengine umezunguka.
Jamaa kakufafanulia vzr tu hapo bado unakaza kichwa mada yako ni kula nguruwe? au kwa nini biashara inadorora? Someka...Asante kwa ufafanuzi,kwa hiyo kati hao ni kundi lipi wanaomtafuna mdudu kitimoto??.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungefanya sensa ya watu wote sasa tungekuelewaMwaka 2014 Jimbo la Kigoma Iina eneo la kilomita za mraba 45 066 kukiwa na idadi ya watu milioni
2, ambao kati yao 515 701 ni Wakatoliki.
Ndugu Shaibu Kigoma kwenye maulamaa kuna wakatoliki laki tano je Lutheran, Anglican, AICT na makanisa ya ki-pentecostal?
Wingi wenu uko wapi sasa ?By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.
Wakatoliki na Walutheri walikuwa zaidi ya 20 million na Mbatia alisema hili hadharani.