Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Labda mkiristo alie zaliwa leo
 
Tatizo lako unataka watu wote wamuabudu kiumbe(yesu)
 
Nimekurupuka wakuu naona sijui IDADI ya waumini waislamu na wakristo, mara kitimoto ,mara Biashara kudorora ? Mara siasa ? Kipi ni kipi nisije kwenda OP. MUONGOZO tafadhali.


NB: Kuna wingi na ubora (wingi haimaanishi ubora, na ubora sio wingi)

Quality and Quantity are different.


Kwangu ni kheri nikapata kilicho Bora (Quality).
 


Kwasababu mwezi wa Ramadhani unao utukufu kwa Watu wa dini zote hivyo wale wote wanaokunywa Pombe nk (regardless of religion), huacha kufanya hivyo kwa heshima ya huo Mwezi, na ndio sababu ukaitwa "MWEZI MTUKUFU".

Maombi yangu ni kwamba; hali hiyo ya kuacha maovu katika mwezi huu iendelee pia katika miezi mingine ili jamii yetu (inayojengwa hususan na jamii za dini mbili) kwa ujumla ipate radhi za Mungu kwani Pombe, kula nyama ya nguruwe, uzinzi, uongo, wizi, ushirikina nk ni mambo yanayokatazwa katika vitabu vya dini zote mbili.
 
acha uchokozi😀😀
 
Mida yetu sasa ya kujichana ile nyama kwa bei ya punguzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…