ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga miundombinu mikubwa Hivi ya kishamba mwisho wa siku watu wameapa kuibomoa yote.
Ila wale ndugu pamoja na yote muisrael na mpalestina itakuwa Wana bifu Lao special tu kwanini binadamu gani uwe na roho ngumu unakubali kupigwa bomu unalisubiri.
Binadamu anasumbuliwa akili na Mpaka wa ardhi tu ni ujinga kugombania kwenu wakati maisha kuna sehemu nyingi za kuyafanya na still Mungu wako ukamkuta kila sehemu in case kama kiini vita ni mambo ya dini na Imani.
#CEASE FIRE NOW#