The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakayekaidi atahesabika ni muasi ahera Inamuhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi kwa kuwahamisha wakazi wa Gaza kabla ya kushusha moto ambao magaidi wa Hamasi wakaomba poo.
Kwanini tucheke na wahuni wachache Wanasababisha nchi za maziwa kukosa amani.