Kwanini Wakenya wanaihofia Sana Tanzania?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE; Sijawahi kuona TV station yoyote Hulu Tanzania ikiendesha mdahalo unaohusu kulinganisha Tanzania na Kenya, hii inanyesha wazi jinsi Tanzania inavyosumbua akili za wakenya(inferiority complex)
Pitieni "comments hapo chini
 
Anasema miaka 5 iliyopita mizigo mingi ilikuwa inatoka Kenya kuingia Tz
Ila sasa mizigo mingi inatoka Tz kuingia Kenya

Kwa hiyo hawaogopi bali wanaona ukweli jinsi uchumi unavyopanda au tuseme gdp ya Tz imevuka $70b (2022

Kama tutajitahidi kuuza sana bidhaa nje na kupata fedha za kigeni ni lazima tuwe juu
 
MY TAKE; Sijawahi kuona TV station yoyote Hulu Tanzania ikiendesha mdahalo unaohusu kulinganisha Tanzania na Kenya, hii inanyesha wazi jinsi Tanzania inavyosumbua akili za wakenya(inferiority complex)
Pitieni "comments hapo chini
Hawa jamaa siku zote hawana amani na uchumi wa Tanzania. Tz ilishaipita Kenya siku nyingi wakati wa Kikwete kukawa hakuna jinsi zaidi ya ku borrow a leaf from Ethiopia na kuanza ku fiddle na makaratasi ku justify their econonic superiority. This trick is now catching up with them badly at the moment. We see alot of things happening in Kenya which are not corresponding with economic data.
Such as:-

1. KES loosing ground against the USD
2. Exports Stagnation
3. Unbearable debt almost 100% ya GDP
4. Slump in manufacturing
5. Increased imports
6. Widening fiscal deficit.
7. Increased inflation

NB: You can fool some people for some time but you cannot full all the people all the time.

Kenya is an economic basket case.
 
Binafsi ninafikiri ni kuona hiyo potential ya Tanzania that is yet to be explored.

Hii weekend I will spend my time to scrutinize the numbers nione shida ya Tanzania ni gani haswa kwa sababu mko na resources mingi sana lakini the economy doesn't appear the benefit much au reflect their effect on the economy. From palm oil, to gas, to ports, to many landlocked neighbours, to gold, to arable land n.k
Sijui shida ni gani haswa lakini potential yenu iko poa tu sana.

Ila pia sisi tuko na major challenges lakini tunaendelea kupambana tu. Cha msingi tuishi kwa amani na upendo.
 
comment yako inaniambia kwamba hata kiakili umepevuka sana. Umeongea facts na sio ushabiki. Si kenya wala tanzania ambaye yupo kwny position ya kujiona ni bora zaid ya mwenzie. Tupo na changamoto nyingi almost katika kila idara. Tupambane tujikwamue kweny hizo changamoto then mengine yafuate badae
 
Binafsi ninafikiri ni kuona hiyo potential ya Tanzania that is yet to be explored.

Hii weekend I will spend my time to scrutinize the numbers nione shida ya Tanzania ni gani haswa kwa sababu mko na resources mingi sana lakini the economy doesn't appear the benefit much au reflect their effect on the economy. From palm oil, to gas, to ports, to many landlocked neighbours, to gold, to arable land n.k
Sijui shida ni gani haswa lakini potential yenu iko poa tu sana.

Ila pia sisi tuko na major challenges lakini tunaendelea kupambana tu. Cha msingi tuishi kwa amani na upendo.
Mbona huwa mnapenda Sana kuitazama Tanzania Kama ni tishio/adui kwa uchumi wenu?, Kamwe huwezi sikia viongozi wa Tanzania wakiitaja Kenya Kama mpinzani wa Tanzania.

Hivi Kenya kwanini inawauma Sana Tanzania kuwa na rasilimali nyingi?, mara nyingi mumekuwa mkitaja rasilimali za Tanzania kwa jicho la wivu.

Kwa ujumla, rasilimali za Tanzania zinasaidia zaidi wananchi wa kawaida kuliko ilivyo kwa Kenya ambapo wanasiasa zaidi ndio wenye kufaidi uchumi wa Kenya
 
Mbona huwa mnapenda Sana kuitazama Tanzania Kama ni tishio/adui kwa uchumi wenu?, Kamwe huwezi sikia viongozi wa Tanzania wakiitaja Kenya Kama mpinzani wa Tanzania.

Hivi Kenya kwanini inawauma Sana Tanzania kuwa na rasilimali nyingi?, mara nyingi mumekuwa mkitaja rasilimali za Tanzania kwa jicho la wivu.
Waah inakaa tayari uko na conclusion ni validation tu unatafuta. Naona ni kama unaongea from a point of bitterness lakini pia ninaweza kuwa nimekosea.

Si wivu ,kwani wewe huwezi tamani hizo resources zenu esp kama kwenu haziko? Ni ukawaida tu wa binadamu.
 
Binafsi ninafikiri ni kuona hiyo potential ya Tanzania that is yet to be explored.

Hii weekend I will spend my time to scrutinize the numbers nione shida ya Tanzania ni gani haswa kwa sababu mko na resources mingi sana lakini the economy doesn't appear the benefit much au reflect their effect on the economy. From palm oil, to gas, to ports, to many landlocked neighbours, to gold, to arable land n.k
Sijui shida ni gani haswa lakini potential yenu iko poa tu sana.

Ila pia sisi tuko na major challenges lakini tunaendelea kupambana tu. Cha msingi tuishi kwa amani na upendo.
Mentality ya viongozi wetu hapo nyuma ilikuwa sio nzuri. They used to downplay economic growth for fear of graduating from the least developed country list so that they can still continue getting preferential treatment on exports/trade and loans from multilateral and bilateral lenders
 
Waah inakaa tayari uko na conclusion ni validation tu unatafuta. Naona ni kama unaongea from a point of bitterness lakini pia ninaweza kuwa nimekosea.

Si wivu ,kwani wewe huwezi tamani hizo resources zenu esp kama kwenu haziko? Ni ukawaida tu wa binadamu.
Sikiliza kwa makini hayo mazungumzo kati ya Farah Maalim na Ledama. Farah anasema "soon Tanzania will overtake Kenya", hiyo "statement" inamuelekeo wa "competition" Wala sio muonekano wa kupenda rasilimali za Tanzania. Ledama yeye anapinga kwamba Tanzania haiwezi kuipita Kenya, yeye anaonyesha "Negativity towards Tanzania", hiyo pia hainyoshi kupenda resources za Tanzania. Ukipitita "comments hapo chino, utaona kwamba, wakenya wapo kushindana na Tanzania badala ya kushirikiana na Tanzania.
 
Mentality ya viongozi wetu hapo nyuma ilikuwa sio nzuri. They used to downplay economic growth for fear of graduating from the least developed country list so that they can still continue getting preferential treatment on exports/trade and loans from multilateral and bilateral lenders
Sidhani Kama hili dhana ni sahihi, vipi kuhusu Uganda, Msumbiji, Ethiopia, Rwanda, Madagascar, na nchi zinginezo ambazo hadi Leo zipo LDC?. Vipi kuhusu Kenya ambao hadi Leo bado wanasumbuliwa na matatizo ya msingi Kama njaa, insecurity, slums, kudorora kwa uchumi na madeni makubwa Sana?
 
Back
Top Bottom