Kwanini Wakristo Hukataa Ushahidi wa Mtume Muhammad ﷺ Lakini Hukubali Mambo Yasiyo na Maneno ya Yesu Mwenyewe?

Sijasoma content.
Jibu la swali lako sehemu ya kwanza:

"Lakini, hata kama mmoja wetu au malaika kutoka mbinguni, atawahubirieni injili tofauti na ile tuliyowahubirieni sisi, basi huyo na alaaniwe!"
Wagalatia.1.8.BHN

600 years later, Muhammad akatimiza huo unabii ! ! !

Hatumsikilizi kwasababu tulishaonywa kumhusu!
 
Mungu naomba unisamehe, hizi dini mbili roho yangu inaniambia kabisa ni za uongo ila wewe baba naamini upo.
 
Mungu naomba unisamehe, hizi dini mbili roho yangu inaniambia kabisa ni za uongo ila wewe baba naamini upo.
Wewe umepagawa katika hizo Dini ni moja tu Uislamu baaasi,

Ukristo sio Dini ni Imani kwa mmoja tu
Yesu Kristo Mwana wa Mungu Neno lililofanyika mwili aliyezaliwa kwa Bikira Mariamu,akakua na kuhubiri Injili ya Ufalme wa Mungu,akateswa msalabani zamani za Pontio Pilato,akazikwa siku ya tatu akafufuka kutoka kwa Wafu,akapaa mbinguni,ameketi mkono wa Kuume wa Mungu Baba,kutoka huko atakuja kuhukumu walio hai na wafu
Amen!!!!!!!
 
mnapambana sana na wakristo kila kukicha mnazunguka na kitabu chao mnawafundisha uongo ili muwapate.nendeni kwa mabudha achaneni na sisi dini hi mmeikuta inaendelea mpaka leo
 
TEC muda huu mpaka tukienda mitambomi wamebinywa mapumbu na kukabiwa kwa juu
Muda sio mrefu tunafuta MoU halafu tunajenga Hospitali Mwanza na Kilimanjaro, vizahanati walivyo baki navyo tunawatoza kodi.
 
Mungu naomba unisamehe, hizi dini mbili roho yangu inaniambia kabisa ni za uongo ila wewe baba upo
Sijakupata kabisa.... Nadhani umekurupuka kunijibu.. acha ujinga
 
Ni kwa sababu wanajua alivyodukua kitabu chao halafu akakindia
 
Mungu naomba unisamehe, hizi dini mbili roho yangu inaniambia kabisa ni za uongo ila wewe baba upo

Sijakupata kabisa.... Nadhani umekurupuka kunijibu.. acha ujinga
Wewe ndio hujaelewa nilichokujibu soma tena kwa kutulia utaelewa tu!
 
Tumia akili ...tamshi siyo shida bali dhamira ....yapo maneno ni tusi kwa lugha nyingine ila kwa lugha nyingine siyo tusi ...mfsno jwa kingereza ni God kwa kiswaili ni Mungu kwa kiarabu ni Allah
wacha kuleta udananda, Hivi nikikuita Shoga utakubali ??
 
Biblia ni moja tu, ila tafsiri ndiyo zipo nyingi kwa kutegemea wataalam wa tafsiri.
Unataka kuniambia satanic Bible ni sawa na King James Bible na ni sawa na gay bible ?
 
Ukiambiwa uthibitishe ndio shida inapo anzia
Kwa anayesoma na kuelewa bila kutumia miwani ya imani hakuna ugumu. Hizo personalities za kwenye quran zimetoka kwenye biblia. Angalia kisa cha kuumbwa na namna zake. Zaidi ya muhamad kubadiilsha majina kuwa ya kiarabu amelete kitu gani kipyaa?
 

Wakristo hawamwamini wala kumkubali muhamad. Wao wanasema ni tapeli, mzinzi, jangili, jambazi.
 
Hii ni mada ya kutaka kutushawishi kuwa muhamad ni mtume?
Au lengo ni nini?
Binafsi siwezi kumuamini mtume. Ni heri allah wenu anipeleke kwenye moto wake kuliko nimuamini muhamad
 
Hii ni mada ya kutaka kutushawishi kuwa muhamad ni mtume?
Au lengo ni nini?
Binafsi siwezi kumuamini mtume. Ni heri allah wenu anipeleke kwenye moto wake kuliko nimuamini muhamad

Natumai lengo la muandikaji mada si kukulazimisha umuamini Muhammad ﷺ, bali kuonyesha double standards:

ukikataa ushahidi wa Muhammad kwa hoja ya malaika au hofu, basi kwa mantiki ile ile lazima ukatae simulizi na mafundisho yasiyo na maneno ya moja kwa moja ya Yesu.

Mjadala huu si kuhusu kuingia peponi au motoni, bali kutumia kipimo kimoja cha haki kwa maandiko yote
 
Maandiko ya quran/islam hagana mahusiano na maandiko ya Kikristu/Yahudi.

Kwa nini kuyaweka mizania moja?
 
Biblia na Quraan zinaingiliana sana, sababu ni kuwa ziliandikwa katika kipindi kilichokaribiana.Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…