Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
Nimekuwa nikijiuliza! Hivi kwanini wahamiaji wanaovuka bahari kuingia Europe kutoka Afrika ya kaskazi huwa boti zao zina zama mara kwa mara au Nyani Wamezidi Europe Wanaamua Kudhibiti wimbi la waafrika kuingia Europe.