Kwanini wale watengeneza propaganda, hawamwandami Mrema aachie uongozi wa TLP, badala yake wanamng'ang'ania Mbowe tu?

Mkuu kwa sasa chadema na TLP vyote vina mtazamo mmoja, tokea mwenyekiti Mbowe atinge Ikulu baada kutoka jela kabla hajaiona familia yake kwa miezi 8 aliyokaa jela tuna hofu sana dili limekamilika “done deal”

Aliulizwa lissu hili suali kwanni mkuu karudia kwa ikulu?

Hakuwa na jibu lenye afya alisema aulizwe mbowe mwenye
 
🤣🤣🤣mrema yuko anamalizia uzee wake na dyudyu huko
 
Ni kama vile chadema wanavyong'ang'ana na mashambulizi dhidi ya zitto kabwe na act yake kila siku utafikiri hakuna vyama vingine.
 
  • Sababu ni hii, Mwenyekiti wa CHADEMA ana 'Presidential Character' na 'leadership qualities'
Pia Wahenga walishawahi kusema
  • Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
 
TLP leo ya kufananishwa na chadema aiseeee
 
Kama akina Sofia Simba walivyofukuzwa, fomu ya mgombea Urais 2020 ikachapishwa moja tu na sasa tunaambiwa mpaka miaka 9 ipite ndio tutapata Rais mwingine. Tupende, tusipende.

Ndiyo Tanzania hiyo.
Lini wanaruhusu mgombea uenyekiti kupingwa?
Zitto si ndo Hadi akafukuzwa?
 
Vyama vingi ndg vilianza 1992.
 

PartyAcronymFoundedBungeZHoR
Party of the Revolution
Swahili: Chama cha Mapinduzi
CCM​
1977​
364 / 384
84 / 88
Party for Democracy and Progress
Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
CHADEMA​
1992​
20 / 384
0 / 88
Civic United Front
Swahili: Chama cha Wananchi
CUF​
1992​
3 / 384
0 / 88
Alliance for Change and Transparency
Swahili: Umoja wa Mabadiliko na Uwazi
ACT​
2014​
4 / 384
0 / 88
Tanzania Democratic Alliance
TADEA​
1990​
0 / 384
1 / 88
Alliance for Democratic Change
Swahili: Umoja wa Mabadiliko ya Demokrasia
ADC​
2012​
0 / 384
1 / 88
Alliance for Tanzania Farmers Party
Swahili: Chama cha Wakulima
AFP​
2009​
0 / 384
1 / 88
Union for Multiparty Democracy
UMD​
1993​
0 / 384
0 / 88
National Convention for Construction and Reform – Mageuzi
Swahili: Chama cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa
NCCR-M​
1992​
0 / 384
0 / 88
United People's Democratic Party
UPDP​
1993​
0 / 384
0 / 88
National Reconstruction Alliance
NRA​
1993​
0 / 384
0 / 88
Democratic Party
Swahili: Chama cha Kidemokrasia
DP​
2002​
0 / 384
0 / 88
United Democratic Party
UDP​
1994​
0 / 384
0 / 88
Justice and Development Party
Swahili: Chama cha Haki na Ustawi
CHAUSTA​
1998​
0 / 384
0 / 88
Progressive Party of Tanzania – Maendeleo
PPT-Maendeleo​
2003​
0 / 384
0 / 88
People's Voice
Swahili: Sauti ya Umma
SAU​
2005​
0 / 384
0 / 88
Social Party
Swahili: Chama cha Kijamii
CCK​
2012​
0 / 384
0 / 88
People's Liberation Party
Swahili: Chama cha Ukombozi wa Umma
CHAUMMA​
2013​
0 / 384
0 / 88
 
Mrema ni mwanachama mtiifu wa Ccm na chama chake ni tawi la Ccm.

Hata hii issue ya harusi feki kutangazwa sana ilikuwa ni mkakati wa Ccm kuua mapokezi ya Mbowe mtaani.

Wewe hujaona sasa ni Mrema tuu Mbowe katulizwa??

Ccm ni laana.
 
Mwambie mbowe aendelee kukumbatia chadema kama walivyofanya hao halafu ushuhudie anguko la chadema
Akifanya yeye ni mmiliki wa chadema basi chadema hakitakuwa na tofauti na hivyo vyama ulivyovitolea mfano
Sasa si ndio raha ya CCM? Iweje wapinge tena?
 
Mwambie mbowe aendelee kukumbatia chadema kama walivyofanya hao halafu ushuhudie anguko la chadema
Akifanya yeye ni mmiliki wa chadema basi chadema hakitakuwa na tofauti na hivyo vyama ulivyovitolea mfano
Wana Chadema tunampa wenyewe kiti hicho.

Mpaka tutakapoona ccm mmenyooka ndio tutampokonya.

Vinginevyo atakuwa wa maisha
 
Umenena vema,hao ma-propandists wa ccm wanaamini kuwa siku Mbowe akiondolewa kwa njia yoyote ile watapata unafuu wa kufanya siasa zao chafu,na kutawala milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…