Kwanini walifungia simu za Window?

joseph_mbeya

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2023
Posts
1,123
Reaction score
2,935
Habari zenu wana JamiiForums,

Niende kwenye mada moja kwa moja, unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni kwanini walifungia window phone?

Nakumbuka kuna kipindi nipo shule kuna ndugu yangu mmoja alikuwa na nokia lumia ilikuwa ni window phone enzi hizo zinasupport kila kitu aise alikuwa anasumbua kinoma mtaani pale
ilikuwa ni moja ya simu nilikuwa naitamani sana.

Lakini nilipokuja Zanzibar kuna mitumba ya vitu vingi sana kama simu, radio za aina mbali mbali, magari na kadhalika

Kuna chimbo nilibahatika kuona window phones nyingi wanaziuza hapo nilichukua moja inaitwa microsoft lumia

Sio siri simu ni ya muda sana lakini ipo bomba sana ina camera nzuri, stereo speaker, fast charging, storage 16gb na sehemu ya memory card, RAM 1, Display. Type, AMOLED

Halafu kitu cha pekee ni camera yake simu ni ya muda sana lakini ina camera ambayo kuna simu za kisasa hazifikii

ONA BAADHI YA PICHA ZA LUMIA

 
Simu za windows, zilifungiwa lini na nani?
With the diminishing interest and application development for the platform, Microsoft discontinued active development of Windows 10 Mobile in 2017, and the platform was declared end of life on January 14, 2020.
 
Hapana hawakuzifungia ila zilikuwa zinawatia hasara maana zilishindwa kushindana na android na apple ambazo zilikuwa zimetake over.
Lakini innovation yake flat interface ilikuwa ahead of time.
 
Hapana hawakuzifungia ila zilikuwa zinawatia hasara maana zilishindwa kushindana na android na apple ambazo zilikuwa zimetake over.
Lakini innovation yake flat interface ilikuwa ahead of time.
kabisa kaka unajua hii window phone natumia jamiiforum na kuperuzi tu kwenye browser lakini naipenda kuliko maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…