Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

Aisee...
Kuna wale waliosoma Zanaki P/S miaka ile kulikuwa na mwalimu mmoja bomba kweli anaitwa Mwalimu Seifu
Baada ya miaka 25, nilikutana nae mnazi mmoja sikuamini macho yangu, yuko vile vile bomba hata ningekuwa mshenzi ningeaanza kumtamani. na kumtongoza.....
Lakini nilimuamkia na mindevu yangu kwa heshima na taadhima na nikamkatia $100 kama asante Mwalimu, tukapiga stori mbili tatu
Natumai bado ni mzima wa afya na nauombea afya na uzima tele.....
 
This is true,wiki iliyopita nilimuona mwalimu wangu wa history alinifundisha mwaka 2011 nikiwa kidato Cha pili tegeta sekondari.

Ilibidi Mimi nimkwepe nisimsalimie maana nilivyozeeka ningepata tabu sana kumkumbusha kwamba ndyo Mimi wa kipindi kile.
Katika miaka yote hyo,sikuona utofauti wowote tangu nilipomuona mpaka wiki iliyopita.
 
Sa muda wa kuzeeka tunautoa wapi maisha yote ni kucheza na kucheka na watoto wa watu, wazazi wao wakiwapa na zile jero jero ndo kabisaaa tunanenepa.
Maisha yanakuwa saaafi kabisa🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣
Msiwe mnatukwepa jamani, tusalimiane tu.
 
Palikua na ulazima gani wa kutaja mikutano ya sisiem πŸ˜‚
 
kwa sababu wanakula vi2 vya asili visivyo na mafuta
 
Kuongea ongea, hawana muda wa kuwaza shida zao
 
Wana baraka nyingi za wanafunzi wote waliopita kwenye mikono yao.
 
Hongera kwao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Full mandevu hadi unawaza sijui niseme shkamoo sijui niseme za saizi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…