Njegele
Member
- Aug 3, 2014
- 61
- 100
Habari wana JF,
Napenda nielewe kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijari hasa kwenye suala la mavazi.
Walimu wangu wa O-level wala hawakuwa na mda wa nguo nzuri kama walimu wa masomo mengine, A-level Sasa mda wao mwingi wako maabara, chuo kikuu ndo usiseme utadhani hawana mishahara mizuri na walio wengine siyo watu wa kupiga story kama wengine, shida Iko wapi Kwa walimu wa masomo haya ?