Kwanini walimu wa diploma wasipewe mikopo

Joined
Dec 29, 2013
Posts
28
Reaction score
9
Nimekuwa nilifatilia sana nikagundua kuna wanafunzi wengi hawamudu mahitaji ya chuo Kwanini serikali isilifirie hili kuwapa hata nusu ya mahitaji?
 
Wazo zuri kwa serikali nyingine siyo hii ya kupiga picha na 50 cent.
 
Wa Diploma wengi wana soma vyuo vya ualimu ambavyo ada yake ni sawa na shule za boarding za serikali sh. 70,000/=, ila kwa vyuo vikuu boom lazima maana chakula, maradhi na ada wanajilipia wenyewe tofaut na hao wa vyuo wanaolishwa na serikali.
 
pengine mfumo wetu unaweza kuonekana na kasoro kwani watu hao wote wametoka form six. mwingine anaingia chuo kikuu naanaonekana mtu mature na anahaki zake zote za msingi kuliko anayekqenda chuo cha ualimu ambapo anaonekana kama mwanafunzi wa sekondari ti
 
Umejipanga vp kumsomesha mwanao?

Au na yeye atasubiri mkopo?
 
Nadhani mwaka kesho huo mpango unaanza ila ni kwa walimu wa sayansi tu, hii ni kutoka kwa naibu waziri wa elimu bungeni leo akijibu swali la mbunge wa Tandahimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…