Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la business studies.
Mamlaka husika za elimu, yaani wizara ya elimu na Tamisemi hebu litoleeni majibu hili suala.
Mamlaka husika za elimu, yaani wizara ya elimu na Tamisemi hebu litoleeni majibu hili suala.