Andrew Gwandumi
New Member
- Jan 21, 2014
- 4
- 1
Walimu Wengi Waliyomaliza Masomo Yao Wakafaulu Vizuri, Malengo Yao Huwa Tayari Kutekelezwa Kama Yalivyo pangwa..kuchelewa Kwa Ajira Nchini Husababisha Wahtimu Haohao Kubadili Malengo waliyo Yaweka Na Hatimaye Kubadilika Kwa Mifumo Yao Ya Maisha...bila Kuxahahu Kuwa Walimu Ndo Kisima Cha Maarifa Je,maarifa Na Ujuzi Kwa Muda Wote Tangu Kuhtmu Chuo Mpaka Sasa Yatakua Sawasawa...kwan Wahtmu Wengne Wameweza Kusomea Fani Zngne Na Wakazmalza Kwa Muda Ambao Serikali Imechelewesha Ajira...pamoja Na Kwamba Tunaweza Kujiajiri Je,tutajiajiri Wapi Na Taaluma Yetu Ndo Hyo Ya Ualimu?? Au 2badili Nyumba Zetu Kuwa Shule Ili Taaluma Yangu Isipotee??....serikali Kupitia TAMISEMI na UTUMISHI naiomba kama nisikivu isikie kilio cha walimu wahtimu wa vyuo mbalimbali Nchini Ambao Wamekuwa Wakisubiri Kwa Hamu Ajira Zao Kama Mlivyo Waahidi Apo Awali...pia Walimu Msisahahu Malengo Yenu Pndi Mpatapo Ajira Kwa Kufanya Hvyo Mtaweza Kukuza Uchumi Wa Familia Na Nchi Yako Kwa Ujumla....""nawasilisha""