Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Nani alikuambia ni kinyume Cha Demokrasia? Kwa Sheria ipi? Acha kudanganya watu. Na hoja yako ni ya kipumbafu haina tija yoyote kwa Taifa. Ehee ngoja nikubaliane na ujinga wako, ehee so what???Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
Kwhy we maoni yako nn apo?Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
Sikuwahi kumkubali Magufuli, lakini katika hili usichume dhambi, Tanzania inaongozwa na mfumo dola iko hivyo siku zote ni wewe ndio umehadithiwa juzi tu ulikuwa hujui lolote.Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
Wewe hujui lolote piaSikuwahi kumkubali Magufuli, lakini katika hili usichume dhambi, Tanzania inaongozwa na mfumo dola iko hivyo siku zote ni wewe ndio umehadithiwa juzi tu ulikuwa hujui lolote.
Namtetea Magufuli katika hili tusimlaumu.
Kwa ufahamu wangu walivaa vile kwanza ni kujaribu kuficha uwepo wao kirahisi na siyo tu kwenye kampeni hata ikiwa sherehe za mwenge wapo wanaovaa sare kama wanakamati ya kuratibu mwenge. Jukumu la ulinzi wa viogozi siyo rahisi kama wengi tunavyodhania na ndiyo maana hawa walinzi hawana mchezo kwenye kazi yao naumbuka hata Mzee wetu Marehemu Magufli kuna wakati alikuwa anawaambia mwacheni ila walikuwa hawakubali kirahisi. Sarehizi ni kuzuga usiwajue krahisi hasa eneo ambalo linmkusanyiko wa watu wengi na ni la wazi na mchanganyiko. Hapo wamevaa kama mgombea ili usiwe rahisi kumsogelea mgombea.Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
Kama ni sahihi rais kuvaa sare za chama, ni nini kinazuia walinzi wake kuvaa sare?? Kama rais alivaa kisa ni mhombea basi na walinzi walivaa kisa ni walinzi wa mgombe. Kwani ni kosa walinzi wa mgombea wa CDM wakivaa gwanda?Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
Akili huna kazi kufuga matako makubwaKama ni sahihi rais kuvaa sare za chama, ni nini kinazuia walinzi wake kuvaa sare?? Kama rais alivaa kisa ni mhombea basi na walinzi walivaa kisa ni walinzi wa mgombe. Kwani ni kosa walinzi wa mgombea wa CDM wakivaa gwanda?
Ulikuwepo pindi anatoa amri hiyo?Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake.
Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini hasa ilikuwa sababu ya walinzi wa Magufuli kuvaa sare za chama?View attachment 3465063
mkuu mi nadhani ule msemo "when you are in rome live like romans" ndio ulifanya kazi!Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana.