Kwanini waliopinga ujenzi wa bwawa la umeme hawana raha?

Maswa Yetu

Senior Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
155
Reaction score
217
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.

Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?

Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.

Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.

Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
 
1741070467863.png
 
Mzee Nape
 
Songas kamaliza mkataba ila hataki kuondoka. Mitambo yake bado ipo ubungo hajaiondoa.

Anasubiri Arab contractor waondoke aanze kupiga figisu bwawa lisifanye kazi. Kuonekane kuna upungufu wa umeme

Kisha Songas anapewa tena mkataba mpya wa kunyonya wa Tanzania kwa capacity charges.

Dalali wake mkuu ni professa Muongo Muongo, napes, njanuary na mafisadi wenginr kibao
 
Tutawanyoa kwa chupa safari hii
 
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.

Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?

Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.

Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.

Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Waache chakademus wapumzike
 
Walikuwa wanataka tusign tena na wale matapeli wa sogas na tegeta waendelee kula mgao
 
Back
Top Bottom