Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
TCU First round application imetema wengi waliosoma sayansi?Je, ni kwanini?
tcu first round application imetema wengi waliosoma sayansi?je, ni kwanini?
Wanasayansi wengi ndiyo wanaokosea kuomba hawazingatii masharti.TCU First round application imetema wengi waliosoma sayansi?Je, ni kwanini?
TCU First round application imetema wengi waliosoma sayansi?Je, ni kwanini?
Unauliza swali au unatoa hoja
Kwa hiyo na wewe umepata chuo kwa aina hii ya uandishi?
Brn taabu kwelikweli.
je umefanya utafiti au unaropoka 2 ?
Anaropoka huyo kuna watu wamefaulu vzur na bado wameachwa,fanya uchunguzi kwanza
Ww km uliend kuw handsome boy ndo unachokijua tu shule lazma ikupe adabu.science my foot tna nami npo kwny huo mchakato wa kupanga...hatuuzi sura wla kumjua nan ni nan ulichopanda ndo mavuno hyo unabeba yakikushinda ruksa kushare unapopajua uchambike km hp unavyochambwa.
Kakojoe ulale coz no research no right to speak.
Vijana Wa siku hizi ni vilaza Sana
duuh kwann?
Kwa nini unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo,mi nadhani ungekuja na data kamili halafu ndo ungetoa conclusion.mfano ungejua idadi kamili ya waliosoma science pia Kati ya hao je ni wangapi waliapply na wakapata na ni wangapi wamekosa hatimaye ungetuwekea figure hapa,sio kuja na taarifa batili.be smart sio kila unalolisikia basi liko sahihi
vp mkuu na wewe umetemwa nn?
Nilitaka nikueleweshe mlugo mdogo.Enzi zangu mambo yalikuwa smart hakukuwa na kitu kinaitwa tcu,pia nilikuwa nimequalify kusoma kozi yeyote kasoro Sheria na udactari so it was easy.Na nilichagua chuo cha kusoma sio Kama nyie mnaochaguliwa.