sayance wengi wanapataga div 3 na div 2 4,zakumwaga na zero kama kawa! Naongea kwa uzoefu shule niliyosoma same boys pale mwaka huu 1 zpo 12 1 ni ya pcm, 1 ya cbg, pcb hawana kitu ! Izo kumi ni za arts akati sayance ni 80% ya shule nzima, walikua zaidi ya 280 arts 60 tu, ambao arts hamna zero wala 4 , so sayance panga la met in requirement linawagusa sana zaidi ya arts