Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimekuwa najiuliza sana lkn sipati majibu kwanini watu wanalalamika sana kusikia mtandao wa x utafungiwa nchini Tanzania, vyama vya siasa tayari vimeshaanza kutoa statements vikidai ni kuminya uhuru wa kutoa maoni. Uhuru gani wa kumtukana kiongozi wa nchi? Uhuru gani wa kuhamasisha violent extremism, uhuru gani wa kuhamasisha radicalization?
Kila inachokifanya Serikali kwenu nyie ni kibaya, kwenu nyie hakuna zuri la Serikali hata moja.
Nyie mnaona sawa tu kiongozi wa nchi anakashifiwa, anadhalilishwa, anabezwa nyie hamjitokezi kupinga na kulaani kiongozi wa nchi kufanyiwa mambo ya hovyo na akina Maria Sarungi. Dada huyu namchukia mno katika maisha yangu, yeye anaona kumchangia Lissu gari ndio maendeleo, kwake yeye anapotuma taarifa za uchochezi kwa wanaompa hela ili awatumikie anaona sawa t.
Serikali naiomba kwa heshima na taadhima, funga Twitter X, funga Instagram.Viongozi wa dini wameomba mitandao hiyo ifungiwe mimi nani nikatae.