Kwanini wamekubali kujiita/kuitwa chawa? Je, wanajua maana na asili ya chawa?

Kwanini wamekubali kujiita/kuitwa chawa? Je, wanajua maana na asili ya chawa?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kwa nimjuavyo chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu.
Chawa hutokana na uchafu. Mtu mwenye chawa mara zote hujikuna na kukosa utulivu. Chawa husababisha ngozi kutokwa na vidonda/upele.

Je, 'chawa' hawa wa wanasiasa au watu maarufu asili yake hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom