Kwa nimjuavyo chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu.
Chawa hutokana na uchafu. Mtu mwenye chawa mara zote hujikuna na kukosa utulivu. Chawa husababisha ngozi kutokwa na vidonda/upele.
Je, 'chawa' hawa wa wanasiasa au watu maarufu asili yake hasa ni nini?