Anatomy ya NSSF, PPF, LAPF, NHSF, INSURANCE inaonekana uzuri zaidi unapotazama mashirika haya kama yanayoanzishwa ili KUWANYONYA WAFANYAKAZI kwa kuwapa riba ndogo na kuwanyima kutumia akiba zao wakiwa hai hadi wamekufa.
Kisha ni taasisi maalum za vyama vya kisiasa vinavyotawala kuchota fedha bila kuulizwa ili kugombea uchaguzi na vilevile mradi wao wa kula ili wajinufaishe wao binafsi na sio wenye akiba.
Mimi nilishatonya kwamba haya mashirika yageuzwe kwa kutambua kwamba wenye kuchangia ndio wanayoyamiliki. Lakini sasa hivi ni kwamba serikali zinatupora na kujifanya ndiyo wanayowamiliki na kufanya fujo na ufujaji wa kila aina huko. Na kwa sababu hiyo hata wafanyakazi huko wanatuibia na kutubakishia kidogo maana wanajua siri nyingi za serikali na serikali inawaogopa watatoboa ukweli wao wakiitwa vijizi maana wao wataitwa mijambaziiii!!!
Ili yawe na maana mashirika haya lazima yamfae mfanyakazi wakati yu hai na sio vinginevyo kwa kuhakikisha anapata vitu vya msingi katika maisha kama vile nyumba, usafiri na fedha za kugharimia mahitaji yake na ya familia yake bila kusumbuka kama ilivyo sasa eti.
Na hili aghalabu hutokea pale chama fulani kitakaposhindwa kunyonya hela zilizotengewa wizara mbalimbali katika bajeti ya mwaka 2009/10.